USHAURI KABLA HUJAANZA KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA

USHAURI KABLA HUJAANZA KUSHEREHEKEA MWAKA MPYA

The Crushing

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
569
Reaction score
903
Salaam
Kama wengi wenu mlivyozoea kijinga kufika mwaka mpya unataka kujifanya umeanza kila kitu wewe ma wishes kibao ma sms kibao ma emoji ndo kama yote, Na nyote mnaoshinda humu mpaka time hiyo ili kuwahi kuanzisha nyuzi za kwanza kwanza mjifikirie akili zenu masikini nyinyi msio na shukrani hata kwa Mungu.
NAWASHAURI KAMA MDOGO WENU MUANZE KWANZA KUMSHUKURU MUNGU NYIE WATU TENGA HATA DK 15 KAMA KWAKO NI NYINGI MSHUKURU MUNGU KWA YOTE YA 2018 NA ZIDI KUOMBA KWA 2019. KWA NAMNA YOYOTE.

Mungu ni Mkuu sana ndo maana lazima yeye awe wa kwanza kwa kila kitu, watu wa Imani mtanielewa zaidi
Na hata nyie wapagani muishukuru hata mizimu yenu huko kama mnayaamini.
Hautaki unaacha
Uzi tayari.
 
hivi mwaka mpya si namba? kwani kunakingine hubadilika? tuacheni hizo tupige kazi na tuendeleee na ratiba nyingine ka kawaida wakuuu
 
Back
Top Bottom