Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salaam wanabodi Wakati mwaka ukielekea Ukingoni yatupasa kumshukuru Mwenyenzi Mungu kwa neema na rehema zake.Ni ukweli kuwa ametubariki kuliko yale tunayostahili Nawapongeza wale ambao wanatumia...
15 Reactions
104 Replies
14K Views
Heshima kwenu wakuu, Askari JWTZ aua askari mwenzake na raia kwa risasi Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani Ruvuma yakiwekiwemo ya askari magereza wa gereza la Kitai...
8 Reactions
130 Replies
24K Views
kheri ya mwaka mpya wanajf Nina swali huwa najiuliza,nani hutoa orodha ya vyuo vikuu bora nchi?Maana kama ni maprofesa wetu tu,mh!! labda!!
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Sasa nimeanza kuamini kile kilichoandikwa kwenye barua ya fastjet kwamba refund zitaanza 20th December 2019, hasa kwa sisi tuliolipia kupitia mitandao ya simu. Naamini wale waliolipa kwa cash...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Mfanyabiashara Doglas Malamsha wa mjini Moshi,ametajwa kuwa mmoja wa wanufaika wa uifsadi wa mabilioni ya fedha kwenye Bodi ya kahawa Tanzania(TCB) baada ya Kampuni yake iliyokuwa ikijihusisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeshtuka kusikia hivyo japo bado sijaamini habari hiyo asilimia zote! Kwa mujibu wa aliyenitaarifu ni kuwa traffic huwa wanawekewa kiwango cha chini cha kukusanya mapato kutokana na makosa ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
KHABARI ZA ASUBUHI WANAJAMVI, NATUMAI KWA UWEZO WAKE MWENYEZI MUNGU AMEAMUA KUTUPA TENA NAFASI YA KUUONA MWAKA 2019 TUKIWA NA AFYA TELE KWANI SAFARI TULIIANZA WENGI ILA TULIOBAHATIKA KUINGIA MWAKA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijui na sijui kwa nini??? Kumekuwa na maswali toka kwa watu tofauti juu ya FAO LA KUJITOA iwapo limerudishwa au lah. Hii inatokana na kauli ya Mh. Rais hivi majuzi kwamba utaratibu wa zamani...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Redio uchwara, jifunzeni kwanza toka kwa clouds media group kabla hamjaanza kupambana nao
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hata kama mnafanya biashara lakini sio namna hii, my wife wangu ni mteja wa hizi bidhaa ananunuaga sana dawa ya meno na vile vidude vingine km vidonge. Sasa safari hii kanunua sabuni ya...
6 Reactions
46 Replies
11K Views
Ulimwenguni kote hasa kwenye dunia iliyoendelea sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya hutawaliwa na utamaduni wa urushaji wa Fataki ama Pyrotechnics. Angani. Nini Sababu ya Msingi ya Serikali ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu nakuja mbele zenu muweze kunisaidia hata kwa ushauri tu kwa sababu naamini hapa JF kuna vichwa vya kila aina vilivyobobea katika fani mbalimbali.Wakuu kama title inavyojieleza nimeamua...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana JF Mi ni mkazi wa Dar ila nimekuja moshi tangu jumapili ( 22 Dec ) kwa ajili ya kipindi cha sikukuu. Tarehe 23 nlipita maeneo ya moshi Arusha hospital nikakuta ajali ya basi la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna msemo kuwa "uongo ukisemwa sana hugeuka kuwa kweli" ndivyo ninavyoona kwenye jina linalotumiwa na watu wengi kuwatambulisha wafanyabiashara wafanyao biashara kwa kutembeza mitaani ama...
3 Reactions
50 Replies
11K Views
Moshi ..Moja ya vivutio vya huku Kaskazini ni namna Wamisionari wa Kilutheri na Kikatoliki walivyogawana maeneo ya kuhubiri injili ya Kristo, na mipaka ya maeneo hayo bado inaheshimika hadi leo...
11 Reactions
48 Replies
9K Views
KIKOKOTOO katika sheria ya mafao inabeba maana pana, kwa uelewa wangu. Ili mtu apewe fao la upotevu ajira, fao ambalo ukokotoaji wake ni wa kinyonyaji na kandamizi (yaani asilimia 33.3), basi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tawiiiire!!! nawasalimu kwa heshima! Rasmi sasa nimeiva baada ya mafunzo ya mda mrefu kutoka kwa washirika. Naomba sasa kwa mda Wangu Wa ziada nianze rasmi kutoa huduma hii ya uganga Wa kienyeji...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Mwaka 2014 mwezi wa tisa, wanafunzi wakiwa wamekodi mabasi wakielekea katika maandamano ya kupinga kitendo cha aliyekuwa mke wa Mayor wa mji wa Iguala huko Mexico kutaka ndiye awe mrithi wa kiti...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kanisa lilimfwata mwewe au mwewe alilifwata kanisa au puma alidondokea pale bahati mbaya au kimkakati na je uwanja wa mwewe ni plani ya mchonga ruksa au uwazi wa maisha bora na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TANZANIA imeweka rekodi yake ya kuwa na akiba ya fedha za kigeni, sasa ikiwa na Dola za Marekani milioni 5,079.0, sawa na zaidi ya Sh trilioni 11, kiasi ambacho ni kikubwa zaidi tangu taifa hili...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…