Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu wanaumia aisee jamaa katoka machimboni, karudi anapewa story kuwa mke wake alikuwa anaruka ruka nje, break ya kwanza ni kwenda kupima kwa lazima, imebidi jamaa amkimbie waifu kimya maana wife...
35 Reactions
154 Replies
3K Views
Watu wengi wakisikia satellite wanafikiria ni vifaa vichache tu vinavyozunguka dunia, lakini ukweli ni kwamba anga la karibu na dunia limejaa vitu vingi sana kuliko watu wanavyodhani. Kuna maelfu...
8 Reactions
17 Replies
379 Views
Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako. Sasa ni Mungu...
3 Reactions
17 Replies
7K Views
Anonymous
TRA mfumo unakataa kufunguka hasa kwenye kipengele cha Innovation ambapo inasababisha watu kushindwa kushiriki Innovation Challenge licha ya muda wakumalizika hiyo challenge kukaribia ambapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna huu mmea unaitwa Agave. Upo kama katani. Unapandwa. Baada ya kama miaka 7 hukomaa na kuvunwa. Ukikomaa huwa kama nanasi hivi. Huvunwa. Majani hukatwa na kiini kama nanasi huchukuliwa...
8 Reactions
3 Replies
200 Views
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 26, 2026, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema; "Kwenye uchochezi wowote wa namna yoyote ile...
0 Reactions
11 Replies
529 Views
Anonymous
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Kwa bahati nzuri leo nimesikiliza kipindi cha Redio Tumaini cha Dukuduku. Nimependa dukuduku kuhusu watangazaji wa Redio Tumaini. Watangazaji wameifanya Redio igeuke kituko kama siyo Redio ya...
1 Reactions
2 Replies
113 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu. ■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo ■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu ■Asema duniani ukiacha Mungu...
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Dr.Zack ✍️ May 26,2026.19:10PM.. INAONEKANA kuna hofu kubwa ya baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Upinzani hasa Chadema na Viongozi wa dini Nchini kukubwa na JINAI baada ya Tume-JINAI kuja na report...
0 Reactions
13 Replies
268 Views
Wakuu Amani iwe kwenu!! Nimebahatika kusafiri Tena kusafiri kutoka kahama kwenda mpanda -katavi Kwa lengo la kuendelea kuangalia fursa za kilimo na ufugaji nk. Na hapa nitakupisha maeneo yote...
27 Reactions
100 Replies
4K Views
Vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko Gharama ya 200k-250k kwa mwezi Ikiwa inajitegemea ni vyema zaidi Shida ni ya fasta sana tafadhali
1 Reactions
6 Replies
185 Views
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala imeona taarifa zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu muda wa kusubiri huduma kwa baadhi ya wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kupata matibabu...
3 Reactions
2 Replies
263 Views
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio. Pamoja na juhudi za...
1 Reactions
0 Replies
164 Views
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam. Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala...
24 Reactions
332 Replies
4K Views
Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: Ingia ukumbini Cheza kidogo Kata keki Tambulisha ndugu Toa zawadi Nenda kwenye msosi Muziki Tuwaage maharusi...
30 Reactions
101 Replies
2K Views
Wana jukwaa salaam. Habarini wote. Nimekuja kwenu kuwasimulia mkasa wangu kwa ufupi juu ya tatizo la akili linalonisibu tokea utotoni hadi leo. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 32, Mtumishi wa...
16 Reactions
127 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM — Taasisi ya Heart Team Africa Foundation (HTAF) kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya “Kutoa Ni...
2 Reactions
1 Replies
91 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…