Mwenzenu utazani nime subscribe na "polisi taarifa"
Kutwa natumiwa ujumbe huu Mara sita!
" Mwananchi, Usikubali kutapeliwa.Usitume pesa kwa mtu usiyemfahamu.Hakiki ujumbe na simu inayokutaka...
ARUSHA! Inasikitisha sana! Mazishi ya bwana harusi, Heaven Makupa (47) aliyefariki dunia katika kanisa la Nabii wa Utukufu wa Bwana lililopo Olmatejoo jijini Arusha, yametikisa mjini Moshi...
MIAKA mitatu iliyopita wakati Rais Dk John Magufuli akitangaza baraza lake la kwanza la mawaziri mara baada ya kushika nchi mwaka 2015 alisema kuna nafasi nne za uwaziri ambazo bado anatafuta watu...
Wakuu Wiki hii yote Tigo upande wa intaneti ipo ovyo,, ivi ni kwangu tu au hadi na Kwa wengine pia ni ivi, maana mb zinaisha tu cha maana hamna ,hii kuingia JF yenyewe hadi usubirie sana ndio...
Tayari Muzungu anajua mnamsujudia lkn mnamuogopa mpaka mwenyewe anajisikia vibaya?
Fikiria mtu ambaye anakuja kwako na yuko powerless kabisa anakukabidhi wewe Umungu mtu, hata wewe mwenyewe...
Habari za mchana wanaJf
Leo kwenye saa 4 asubuh,nilikwenda benki ya Crdb tawi la mbezi Luis kushughulikia miamala kadhaa ya kibenki.
Nikaanzia mapokezi pale ambapo pamoja na kuwa na PC tatu za...
Nimeona watu wakiponda sana ajira za serikali na kusema ni kupoteza muda na wengine wanashawishi wengine waache kazi kabisa
nianze tu kwa kusema huo ni upotoshaji wa kiwango chake.
Sikuchukii...
Imeandikwa na Mtaalam Yahya Msangi
FANYA TAFAKURI NA DR. YAHYA: NAMKUMBUSHA ZITTO NA NAWASHANGAA WATANZANIA VIKOKOTEO
Kipindi Mizengo Pinda kateuliwa kushika wadhifa Wa Uwaziri Mkuu baada ya...
Ni majuzi tuu muheshimiwa rais alitusaidia na kuja na mjadala wa vitambulisho kwa ajili ya wafanya biashara ambao mtaji wao ni chini ya mil.4 mimi nasumbuliwa na halimashauri na hawa afisa...
Baada ya kumalizana na jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama.
Jeshi la usalama barabarani limzuie dereva wa Tundu Lissu kurudi barabarani mpaka lijihakikishie pasipo na shaka kuwa yuko...
Ikitokea Mtukufu Jiwe akaamua kupiga U-turn leo ijumaa ya tarehe 04/01/2019 na kutengua uamuzi wa kufuta kikokotoo na kurudisha kile cha 25% ya mafao ya wastaafu kiendelee kutumika kama sheria ya...
KIFO Hakina Huruma! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kijana mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake au sura yake kudondoka na kufariki dunia maeneo ya mwenge jijini Dar es Salaam huku chanzo...
Akithibitisha jana kuwapo tukio hilo na kushikiliwa kwa watuhumiwa hao, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Mponjoli Mwaburambo, aliwataja watuhumiwa hao kuwa Emmanuel Magige (24), Imani Daudi (18)...
New Barrick Gold Chief Looks to End Tanzania Dispute
Mark Bristow wants to resolve the tax and revenue-sharing fight; he says asset sales are possible, too...
Naomba kujuzwa taratibu zilivyo katika Majeshi yetu.... Mtu akikatika kiungo akiwa katika kazi za Kijeshi. Je mtu huyo huendelea kuwa Askari wa Jeshi au atasimamishiwa Mkataba wake na Jeshi?
Ni gari la Mbunge Ally Ungando ambaye ni Mbunge wa Kibiti kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Gari hilo lilikuwa likisafirisha shehena ya Mbao kwa njia ya magendo kutoka Kibiti kwenda Dar es Salaam...
Makamu Mkuu wa Shule ya sekondari Ntuntu wilayani Ikungi, Raphael Malan, ameagiza wanafunzi 212 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza shuleni hapo, kuripoti wakiwa na viti, ndoo ndogo na vigoda...
NZANIA
Add Comment
Uhamiaji wahusishwa na dawa za kulevya 29/07/2011
0 Comments
Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania, imeingia kwenye kashifa ya kuhusishwa na kushamiri kwa dawa za...
Habari za Jamvini Wakuu,
Utakuta mtu amefariki lakini wakati wa kuonesha masikitiko yetu kwenye mitandao tunaandika R. I. P, 'Tangulia Ndugu'.
Sasa tabu ni pale mtu anaandika 'Mbele yako, Nyuma...
Wakuu, naomba msaada kwa wajuzi wa kutafsiri ndoto. Nimekuwa naota tukio hili kila baada ya miezi fulani. Ndoto yenyewe ni kama hivi..:
Mwanzo niliota nimeenda kununua kiwanja cha kujenga mahali...