Muzungu hayuko jinsi mnavyomdhania!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Tayari Muzungu anajua mnamsujudia lkn mnamuogopa mpaka mwenyewe anajisikia vibaya?
Fikiria mtu ambaye anakuja kwako na yuko powerless kabisa anakukabidhi wewe Umungu mtu, hata wewe mwenyewe utajisikia vibaya kwa maana itazidi, ulishawahi kuogopwa na Mwanamke hadi ukajisikia vibaya kwa power aliyokukabidhi?
 
Unamuogopa beberu kwani wewe beiberu?
 
Tayari Muzungu anajua mnamsujudia lkn mnamuogopa mpaka mwenyewe anajisikia vibaya?
Fikiria mtu ambaye anakuja kwako na yuko powerless kabisa anakukabidhi wewe Umungu mtu, hata wewe mwenyewe utajisikia vibaya kwa maana itazidi, ulishawahi kuogopwa na Mwanamke hadi ukajisikia vibaya kwa power aliyokukabidhi?
Mabeberu mabeberu, nyerere babu yenu ndo aliwabatiza jina LA beberu. Sisi tuliyakuta tusilaumiwe
 
mabeberu hawajawahi kushindwa kitu kama hautaki kuniamini muulize Hugo Chaves, Patrice Lumumba,ghadaffi na Julius nyerere
 
Mwenye kumiliki uchumi Wa dunia ni lazima utamuogopa hata kama siyo mzungu. Unadhani kwa nini viongozi wa Africa wanaogopewa na wananchi wao, na wewe ukiwemo. tunwaogopa, sababu wana political power. Na political power INA maana ya economic power +military power.Huo ni msemo Wa Mao tse Tung miaka ya arobaini akiwa msituni kupigania China yake dhidi ya ubeeru yaliyobaki utaongea kunogesha soga tu. Turufu ya Mzungu ni hiyo. Binadamu hajawahi kutawaliwa na mwenzake bila kuwa na msuli kumshinda, tena hupgana akashindwa ndipo hutawaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom