Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,241
Ikitokea Mtukufu Jiwe akaamua kupiga U-turn leo ijumaa ya tarehe 04/01/2019 na kutengua uamuzi wa kufuta kikokotoo na kurudisha kile cha 25% ya mafao ya wastaafu kiendelee kutumika kama sheria ya siku chache za hapo nyuma.
Nina uhakika kuna mazombie wataunga mkono na kutakuwa na vikao vya Uvccm kupongeza.
Lumumba mnahitaji maombi.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uhakika kuna mazombie wataunga mkono na kutakuwa na vikao vya Uvccm kupongeza.
Lumumba mnahitaji maombi.!
Sent using Jamii Forums mobile app