CalvinKimaro
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 244
- 312
Imeandikwa na Mtaalam Yahya Msangi
FANYA TAFAKURI NA DR. YAHYA: NAMKUMBUSHA ZITTO NA NAWASHANGAA WATANZANIA VIKOKOTEO
Kipindi Mizengo Pinda kateuliwa kushika wadhifa Wa Uwaziri Mkuu baada ya aliyekuwepo kufurumushwa kwa kashfa ya Richmond lilizuka wimbi la kumsakama Raisi Kikwete, Kharib Bilal na Pinda kuwa mishahara yao ni mikubwa mno.
Kama ulivyo uchawi ambapo mlozi huloga hadi ndugu ndivyo ilivyokuwa kwa sakata hili lililoshikiwa bango na Zitto.
Zitto bila kujua analoga kwao alitangaza kipato cha mbunge kwa mwezi. Wenye akili tulijiuliza hivi anayetuhumu wenzake kuwa mishahara yao mikubwa anapata wapi ujasiri wa kutangaza mishahara wake wa kufuru?
Haya hapa ndio marupurupu ya wabunge aliyotangaza Zitto kana kwamba ni madogo:
1. Basic Salary (6,000,000)
2. Posho ya ukarimu wageni (1,000,000)
3. Posho ya pango (1,250,000)
4. Ada ya kujiunga gym (60,000)
5. Matengenezo ya gari (3,000,000)
6. Posho ya uchakavu Wa gari (3,000,000)
7. Posho ya vikao vya kamati -hii ni kwa siku (100,000 x siku za kikao/vikao)
8. Posho ya Jimbo (900,000)
JUMLA. = 16,000,000!
Hii sio mimi niliyeorodhesha nimenukuu tuu taarifa aliyotoa Zitto kipindi kile! Ni taarifa aliyotoa mnufaika kwa hiyo lazima ni sahihi 100%. Alipiga hesabu ya alichokuwa akipokea wakati ule. Kwa kuwa bunge letu lina mazoea ya kuboresha haya mapato kila kikao chake cha kwanza hakika kwa sasa yapo juu zaidi ya hapo.
Je, Zitto ni mtetezi au mmoja Wa watesi Wa wanyonge? Zitto anapobweka kuwa anawatetea mfano wakulima wa korosho ana udhu? Je hawaibii wakulima haohao kupitia haya mapato ya ubunge? Au anatuambia wanalipwa kwa hela inayotolewa na wafadhili na sio hela itokanayo na mauzo ya mazao ya wakulima?
Je, huyu Esther Bulaya anayebweka kuwa amesaidia wafanyakazi kupata pensheni ana udhu? Hivi hawaibii wafanyakazi kodi inayokatwa toka mishahara yao?
Lakini wa ajabu kabisa ni ndugu zangu washabiki wa kikokoteo! Hivi mna ubongo? Hebu someni tena na tena hayo mapato ya kina Esther Bulaya! Ni watetezi au watesi wenu? Kweli ukila na kipofu usimguse mkono!
Mnashangilia kifo chenu? Watesi wenu ndio mmewafanya mushujaa wenu?
Narudia, narudia narudia wee nashindwa kujua hivi nyie vikokoteo mmeumbwa kwa udongo au saruji ya Dangote?
Raisi Magufuli achana na vikokoteo! Tatizo sio kikokoto. Nilishaorodhesha genuine problems za pension Tanzania. Mojawapo ni hili LA ubaguzi uliokithiri kwenye pension. Tuweke kapu moja! Ondosha huu ubaguzi. Utakusaidia kuondosha mengi. Hivi anayeokota fedha kiulaini hivi ataacha kupata jeuri ya kukutukana Mkuu Wa nchi?
Ataacha kwenda BBC kuropoka? Ataacha kuwa na jeuri ya kukataa huduma za hospitali zetu na kukimbilia hospitali za nje na kujigeuza mkimbizi mgonjwa? Ataacha kuitwa mahakamani aamue kwenda Rwanda? Ataacha kulipa waandishi wenye njaa kuhudhuria press ya kusema uongo?
Ndio maana gazeti moja LA nje liliposikia hii taarifa ya Zitto liliandika THE HYENAS OF TANZANIA ARE THE MORE GREEDY IN THE WHOLE WORLD!
Yes they are! Please Mr President you have the power and most obviously the will to bring this HYENAs PARTY TO AN END.
Mheshimiwa Rais , Dhambi ya kubaguana kwenye pension imeanza kututafuna!
https://answersafrica.com/latest-salaries-top-tanzanian-politicians-revealed.html?fbclid=IwAR3Nox8lZKG10QP6Yu7ZuEP96d7V3e08NV0b_JW84NkIFcC0ksFvsVKgqJQ