Naomba tuambizane ukweli hapa, Kutokana na shida mbalimbali za dunia binadamu hukopa na kukopeshwa!
Kimbembe huwa hutokea wakati wa kudai au kudaiwa!
Swali; Je; Ipi kazi rahisi kati ya kudai au kudaiwa? itapendeza zaidi tukipeana na njia sahihi za kuwakabili wadeni. Aksante.
Kimbembe huwa hutokea wakati wa kudai au kudaiwa!
- Kwa jinsi mambo hayo yalivyo magumu kuna watu hupelekea hata kujinyonga kwa stress za kudai au kudaiwa.
- kwa jinsi mambo hayo yalivyo magumu kuna taasisi zikiwemo hata bank zenye wataalam zimeshindwa kudai hadi Zimekasimisha majukumu ya kudai kwa KAMPUNI (Mufirisi)
Swali; Je; Ipi kazi rahisi kati ya kudai au kudaiwa? itapendeza zaidi tukipeana na njia sahihi za kuwakabili wadeni. Aksante.