Misheni za kulinda amani nchi jirani

Misheni za kulinda amani nchi jirani

Ubuntu trusty tahr

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
326
Reaction score
228
Kumekuwa na utaratibu wa nchi yetu kupeleka askari nchi jirani za Congo pengine hata na Sudani kushiriki Operesheni za kulinda amani ikiwa ni dhumuni la kuitumikia nchi ndani na nje ya mipaka yake" Hata hivyo tumeona na kusikia taarifa za vifo vya mara kwa mara vya askari wetu" Kimsingi sioni manufaa yoyote tunayopata pindi askari wetu wanapokuwa huko kwani
(1) Vita zinazoendelea huko huenda zikawa zinalenga maslahi ya watu flani au kikundi cha watu flani"

(2)Sitaki kuamini kuwa ADf pekee kwa mbinu za medani na uwezo mdogo walionao ndio wanatekeleza kwa kiasi kikubwa mashambulizi yanayopelekea vifo kwa askari wetu" hapa huenda Rdf nao wanavishambulia vikosi vyetu kwa kiasi kikubwa ili kupigania maslahi mapana ya yule bwana fulani ambaye ni rafiki wa Mkulu"

(3)Hi ni kweli kuwa mkulu hajawahi kushuku kuwa huenda hawa jamaa zake Bwana mu 7(museven) na bwana (kgm) wana maslahi yao huko Congo zinapofanyika hizo operesheni?

(4) kuna umuhimu gani wa mkulu kuendeleza urafiki na hawa jamaa zake ili hali wanavihujumu vikosi vyetu huko ikiwemo kukosa msaada wa nguvu za kijeshi kwa wakati pindi vinapozidiwa"

Ni vyema sasa Mkulu akaona kuwa kunaumuhimu wa kurudisha majeshi nyumbani na kendelea kulitumikia taifa kwa operesheni za ndani(ikiwemo operesheni korosho) na majukumu mengine ya kulijenga taifa" ""Nawasilisha kutoka nchi Jirani"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom