Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Siku hizi maisha mazuri sana kwa sababu Polisi wamepunguza unyanyasaji, maofisa hawaonei tena raia, hakuna zile kauli za kusema "unanijua Mimi" au "ntakufunga". Zamani mlishuhudia hata Wanajeshi...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Ombi la kuzuia Muamala:37448397641, Kiasi: TSh 550,000 kwenda 255716277037 limefanikiwa. Pesa yako itarudishwa baada ya mpokeaji kuruhusu Leo ni siku ya NNE hawjaresha muamara niliozuia urudi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni hivi karibuni tumepokea ndege nzuri(hata kwa muonekano tu) na iliyoweka rekodi kuwa ndege ya kwanza ya aina hiyo kwa Afrika. Tunapaswa kujivunia. Je sisi ndio wa kwanza kutumia ndege hii...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Huu ni mrejesho wa kikao cha viongozi na wananchi hapa nilipo,Kila mjasiliamal anapaswa kuwa na na kitambulisho kwa gharama ya elf ishirini kwa mwaka!!!.Je hii nikwatanzania yote?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
* Ajira hamna * Mtoto anatakiwa kwenda shule * Mwanamke wangu anaumwa * Sina hata hela ya kumpa akatibiwe naishia kukaa kmya tu mana sikai nae * Mdogo wake ananipgia simu ananitukana ndugu yake...
7 Reactions
129 Replies
10K Views
Ukiona vitabu vya kitanzania macover yake ni ya ajabu ajabu sana. Najua wengi wanakuwa ni hadithi tu online na hazijachapwa kwenye hardcopy lakini ndiyo macover yawe hivi? ubunifu hakuna, ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Poleni Wakuu Naomba niende moja kwa moja kwenye Swali langu! Endapo ikiwa,ukiyachemsha maji Bila shaka vile vijidudu inasemekana Ufa,! Swali langu ni hili. je,endapo maji ukiyagandisha...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyu Mr chato anavyoongea utafikiri ana uchungu na nchi. Sasa hivi maongozi yake makubwa kuwasifia wafanyakazi anajua kuwa jua liko manghalibi na wengi wa wafanyakazi hawajamkubali Sent using...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu watatu wamekamatwa wakijifanya watoza ushuru mkoani Mbeya Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana na maofisa wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya limewakamata watoza ushuru feki watatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote. Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kaskazini Unguja Linaendelea Kufanya Doria Mbali Mbali Inayohusu Dawa Za Kulevya, Pombe Za Kieneyeji Na Makosa Mengineyo kwa lengo La Kupunguza Vitendo Vya Uhalifu Katika...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm limewaonya Askari wake wachache wanaokiuka maadili ya Jeshi hilo kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa,uonevu pamoja na Ubambikiaji kesi wananchi. Jeshi la Polisi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bar au sehemu zaa starehe. ukienda agiza mchemsho au supu au kuku wa kuchoma huwa wanakuleteeni kuku wa mayai si kuku wa kienyeji.
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Yote ni kuhusu hizi waist trainer au corset Japo ni jambo linaloenda na wakati lakini ukweli lina madhara makubwa ndani. Unapofanya kitu isifikirie kuhusu nje tu, fikiria na ndani! Sio siri kila...
23 Reactions
187 Replies
60K Views
Tunaambiwa kwenye maandiko kuwa baya huzaa baya na jema huzaa jema. Na mungu, "ametuumba" wote kuwa ni watenda dhambi/sinners. Ambapo dhambi huwa ni jambo baya. Kwa hiyo mungu anaweza kuonekana...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini ndugu zangu, naombeni ufafanuzi wa hii ndoto, mimi sio mvuvi wala sijawi kuvua, na pia sijawai kuishi karbu na bahari au ziwa. Juzi usiku nikiwa nimelala niliota niko maeneo ya pembezoni...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Breaking news Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
3K Views
WANAUME NA WANAWAKE WA SASA NA WA ZAMANI KWA KIASI KIKUBWA NI WALEWALE TU Kuna mijadala ya kujirudia rudia sana kuhusu tabia za wanawake na wanaume wa siku hizi!!Wengi wakidai ni dhaifu maji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani hili jengo bunge la Uganda sijalielewa kabisa Utafikiri stafroom ya shule ya kata Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Nakumbuka walibafuliwa hawa sababu ya madongo kwenye imani za watu sasa nimepita huko Instagram naona hawajakoma tu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…