Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe amewaambia Wenyeviti wa vijiji wamkamate na kumuweka ndani mtu yeyote ambaye hajachangia ujenzi wa MAABARA katika shule za Secondary. Asipotoa pesa kwa muda wa saa 6...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Baada ya serikali kutoa maelekezo ya kurejea katika kikokotoo cha zamani, wastaafu wanaotoka sekta binafsi sasa wataendelea kulipwa mafao ya mkupuo kwa asilimia 25 ya michango yao, huku wale wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UNAPORUHUSU. NAIBU WAZIRI KUONGEANA WEWE ULE N HESHIMA KWAKO ANA MAMBO MENGI YA KUFANYA SASA KWANINK UOMBE RADHI 1))SIPENDI ULIPOONGELEA SWALA LA MH RC WA ARUSHA NA MKUU WA WILAYA YALE N MAMBO...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Ndugu zangu juzi nilikuwa na safari ya kutoka Norway kuja hapa kwetu. Nilikuwa na mabegi matatu, bag moja lilikuwa na simu nne, nikaambiwa mkaguzi mmoja nichukue bag niende nazo kwenye chumba cha...
2 Reactions
78 Replies
11K Views
God is constantly in war, His disire is to villain other spirits. God is spirit and spirit comes from another spirit. Labda tujiulize ilichukua muda gani wa yeye kujitambua kuwa ananguvu zote...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habarini za usiku huu, naombeni mwenye biblia anisaidie ninapitia wakati mgumu sana kwa moyo wangu wote nimeamua kumrudia muumba wangu kuanzia sasa mpaka kifo changu Nikishawai kureta andiko la...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamu nauli ya Kutoka Stendi kuu ya Mabasi Dodoma kwenda Ihumwa (Mji Mpya) Ni shilingi ngapi? Na pia nahitaji kujua Umbali wake. Tafadhali sana nahitaji msaada wenu wakuu.
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Wataalamu wa anga za juu wamefichua kwamba walinasa mawimbi ya redio ya ajabu ambayo yalikuwa yanatoka mbali sana katika anga za juu. Mawimbi hayo yalinaswa na darubini ya kufuatilia mawimbi ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Maana Nimeona Hakuna Hata Update Ya kinachoendelea... Pia Hakuna Taarifa Iliyotolewa kuhusu Ratiba ya Mazishi. Kwa Anayejua Kuhusu Hilo Atuambie Jamani Ili kwasisi tulio Karibu na Hapo kigogo...
3 Reactions
109 Replies
11K Views
Robert lupembe au muko ni miaka kama kumi sasa toka ulipofariki hatutakusahau hakika tabasamu lako na sauti yako dah vizuri havidumu pumzika komrade
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Nimeona nandike hili kwa nia njema ili wenye Makampuni ya Ulinzi walifanyie kazi kwa ajili ya Usalama wa pesa za watu. 1. Walinzi wengi wa Makampuni haya ni washkaji sana na wamezoeana na watu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
LAPF wanenipiga pesa yangu ya miezi miwili kila napowadai hawataki kunilipa fuatilia wee mpaka viatu imeisha kila siku jibu ni kesho, sasa yapata miezi nane hamna dalili ya kulipwa. Watendaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watu wengi wamekuwa wakisoma kwa malengo maalum. Japo wengi huchagua kusomea taaluma fulani kwa kuwa ina soko kubwa la ajira na kuwa na malipo mazuri ya mishahara. Hakuna anayependa kusomea...
2 Reactions
20 Replies
33K Views
Naomba kufahamishwa vituo vya luninga radio na magazeti yanayomilikiwa na ccm na serikali je yana/yametangaza ushindi wa Felix tshisekedi kwamaana nyingine je wametangaza juu ya ushindi wa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wakuu nimekuwa nikisikia dhana ya mtu mwema kuwa ni yule anayetenda matendo mazuri yanayompendeza Mungu kila uchao vivyo hivyo dhana ya mtu mwovu ni kuwa yeye daima anatenda matendo mabaya...
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Mataa ya Tazara yalikuwa yanasababisha foleni kubwa kwa barabara ta Mandela na barabara ya Nyerere zamani Pugu road. Rais Kikwete aliamua kujengwa kwa barabara ya juu yaani fly over ambayo Rais...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF, sipo kwa ajiri ya kukashifu dini ya mtu Ila nataka kueleweshwa juu ya haya maamkizi Waislam wanaamkiana ASALLAM ALYEKUM wakiwa na maana Amani ya bwana iwe nawe(nanyi) iyo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kijana ni nani? Kijana ni mtu wa kike au wa kiume mwenye umri kati ya miaka 15 na 45.Hata hivyo katika dhana ya maendeleo ujana unaweza kuwa zaidi ya umri. Maandiko matakatifu yamenena mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Swali kama linavyojieleza hapo juu,hivi ni kwanini walinzi wa haya makampuni ya ulinzi huvalia sare zao maeneo ya kazi? Yaani unakuta mtu na kibegi chake kaweka sare zake akifika eneo ndio anavaa..
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…