Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

ippmedia.com WANANCHI wa kitongoji cha Mikoroshoni katika kata ya Jonad wilayani Kyela mkoani Mbeya, wamekumbwa na taharuki baada ya kumkuta, Girbati Sanga mkazi wa eneo hilo, akimbaka mtoto wake...
9 Reactions
92 Replies
20K Views
Nchi ya viwanda nini kimeikuta kuhusu ujenzi wa viwanda na uzinduzi wake, mbona kama uhamasishaji wake hakuna kama kipindi cha nyuma? Wakuu wa Mikoa ile ahadi ya viwanda 100 kila mkoa vipi!? au...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Naileta Hii Mada kwa masikitiko makubwa kwanza nikiwa Kama mtanzania lakini pili Mkatoliki Kanisa ni moja ila kwakuwa limetapakaa dunia nzima kila nchi ina uongozi wake kikanisa Kuna tofauti...
21 Reactions
68 Replies
7K Views
Ukipekua maandiko hakuna mahali ambapo Yesu aliweka kipaumbele kwa pesa majumba au usafiri (magari) kwa waumini wake. Pia hakuna mahali ambapo Yesu aliwatumia watu alio waponya kama tangazo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa anasema... Ukizini leo ndani ya masaa sita ukaanza dozi ya siku kama ishirini na nne hivi Virusi Vinakufa. Ukizini na mtu anayetumia dawa za ARV kwa Uaminifu hakuna ukimwi hapo maana virusi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kesi ya kupinga uchaguzi wa yanga utakaofanyika Tarehe 13 January wawekewa pingamizi na kuzuiwa kutofanyika mpaka hapo kesi ya msingi itakaposikilizwa katika mahakama ya hakimu mkazi mbeya. Sent...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hapo padre/mchungaji kimwili yuko na wengi lakini kiroho yuko peke yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7 Reactions
46 Replies
7K Views
Watoto watakula kila aina ya vyakula artificial hata kama ni Biskuti ya milioni moja. Wazazi. Manyama ya kisasa, vyakula artificial, wengi hawaangalii mambo ya Balanced diet mission yao kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako! Vitu msivyovihitaji Leo wala kesho mmeweka vya nini? Umenunua makochi...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumaini mpo vizuri na pilika pilika za January.. Hebu tufahamishane vipindi vizuri vya radio na Tv hapa nchini ambavyo unaweza kuvifuatilia na ukapata utoshelevu wa habari husika iwe mahusiano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna msemo usemao"; "Ukitaka kuwa lawyer mzuri lazima ujue kucomplicate mambo; yaani Jifunze kuvaa majuba meusi wakati Wa jua Kali na briefcase mkononi" Heshima sio kitu cha bure bure! Mtembea kwa...
2 Reactions
0 Replies
911 Views
Tarehe 06/01/2019 wanafunzi wa shule za sekondari Dar es Salaam walirejea mashuleni baada ya kumaliza likizo Mimi nilikuwa ni mzazi mmojawapo niliyempeleka mtoto shule siku hiyo katika Secondary...
7 Reactions
57 Replies
9K Views
Ndugu zanguni kwenye maisha tunapitia mengi kila mtu anayo yale aliyoyapitia lakini sidhani kama kuna aliyeyapitia kama haya ninayoyapitia mimi kiukweli inauma na kusikitisha sana . Baba yangu...
3 Reactions
144 Replies
12K Views
Mifuko ya jamii mbona inachelewesha sana vinua mgongo vya wasitafuu
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Mbona mifuko ya jamii asa pspf wanachelewesha sana mafao ya wastafu mama yangu tangia mwezi wa pili mwaka jana wanafanya wengine tufe moyo na mifuko hii tutakapo pata ajira
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Yatima wa kisaikolijia ni mtu aliyekoswa mafunzo sahihi utotoni kwa sababu wenda wazazi walikuwa hawajui, au hajapitia mikononi mwa watu wanaompenda. Mafunzo ya mtoto aliyekomaa ambayo...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Chama cha Wasafirishaji Tanzania kimeiomba serikali kuongeza muda zaidi wa kuanza kutumika sheria mpya ya uzito wa malori ya Afrika Mashariki iliyoanza Januari Mosi mwaka huu ili kumaliza...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Bila shaka ni hii ndege ya mweshimiwa, nimeganda hapa magomeni kuelekea boma hali ni mbaya. Sijui huko kwenu hali ikoje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni muendelezo wa harakati za Mh Rais katika kutimiza ahadi zake,hatimaye dege kubwa Airbus 220-300 lishatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere matangazo ya mapokezi hayo yako live...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi Ninakuja kwenu kwa maana kujua sheria ila kama nalalamika nilalamike kwa hoja ya msingi. nisema ukweli tu, kwenye sheria ni mjinga ndio maana naombeni msaada hapa maana naamini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…