Tujuzane vipindi vizuri vya Redio na TV

Tujuzane vipindi vizuri vya Redio na TV

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
2,115
Reaction score
2,822
Natumaini mpo vizuri na pilika pilika za January..

Hebu tufahamishane vipindi vizuri vya radio na Tv hapa nchini ambavyo unaweza kuvifuatilia na ukapata utoshelevu wa habari husika iwe mahusiano, michezo, habari, burudani n.k.

Kwa upande wangu napenda sana michezo, so Sports Extra ya Clouds na Sport HQ ya EFM huwa vinanikosha sana.

Karibuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ice FM makambako kuna kipindi kina itwaga zero planet
 
Daaah sikumbuki mara ya mwisho kusikiliza redio ni lini apa sijao wala sina mtoto na sina majukumu yoyote zaidi ya kazi tu

Sa sijui nikiwa na family na majukumu tele
 
1. Kumepambazuka Kiswahili - Radio One, Jumamosi saa 07:30 -09:00 AM
2. Power Breakfast - Clouds Fm J3-Ijumaa - 06:00 - 10:00 AM
3. Ubaoni - EFM Daily 16:00 - 19:00
4. Dira ya Dunia - BBC, Amka na BBC, Idhaa ya Kiswahili - DW
5. Taarifa za Habari- All Local Chanel
 
Power breakfast-Clouds fm
Amplifaya-Clouds fm
Sport HQ-EFM
The Playlist-Times Fm
Kiss Drive time-Kiss Fm
Njia Panda-Clouds Fm
Groove Back-Clouds Fm
Supa Mix-EA Radio
 
Back
Top Bottom