KITU AIRBUS 220-300 TAYARI KIMESHA LAND JKNIA

godson Lomayani

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
538
711
Ni muendelezo wa harakati za Mh Rais katika kutimiza ahadi zake,hatimaye dege kubwa Airbus 220-300 lishatua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere matangazo ya mapokezi hayo yako live.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom