Kanisa Katoliki Tanzania lijifunze kusimamia ukweli, demokrasia na haki kama lilivyo Kanisa Katoliki Congo

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,405
30,907
Naileta Hii Mada kwa masikitiko makubwa kwanza nikiwa Kama mtanzania lakini pili Mkatoliki

Kanisa ni moja ila kwakuwa limetapakaa dunia nzima kila nchi ina uongozi wake kikanisa

Kuna tofauti kubwa sana kati ya Catholic Church of Tanzania na Catholic Church of drc

Wakati Catholic DRC likijitenga na watawala na kusimamia ukweli kulinda demokrasia na haki za wananchi kanisa katoliki Tanzania linakumbatia watawala linakuwa sehemu ya kusaidia wanasiasa kukandamiza demokrasia

Hebu angalia kilichotokea DRC Kanisa lilisema mapema kabisa kwamba linamjua mshindi na atangazwe huyohuyo kinyume na hapa kwetu CCM imekuwa ikipindua matokeo Mara kwa Mara na Kanisa limekaa kimya bila kusema chochote likisubiri sadaka zetu na upendeleo wa kufutiwa kodi na Serikali

Batumia nafasi Hii kulipongeza Kanisa Katoliki DRC na kulitaka Kanisa Katoliki Tanzania lijifunze kilichofanywa na wenzao wa DRC

Hapa kwetu Janisa linajua uovu mwingi Sana unaofanywa na watawala lakini wamekaa kimya wakitoa matamko yao kesho wakitishwa wanayageuka angalau nawapongeza maaskofu wachache kama askofu niwemugizi anajitahidi

Wito kwenu Kanisa Katoliki Tanzania mmekalia kupanua midomo yenu kusubiri pesa zetu za sadaka jumuia ndogondogo zina michango lukuki mnapenda pesa ila linapokuja swala la kutetea umma mnajiunga na watawala

Aibu na iwe kwenu wategemezi wakubwa nyie kazi hamfanyi mmekalia kusubiri sadaka zetu mkanywee pombe halafu mwakani 2020 mtajiunga Kama kawaida yenu na watawala wanaodhulumu haki za raia!!!

iwafikie

pengo na genge lake
 
Naileta Hii Mada kwa masikitiko makubwa kwanza nikiwa Kama mtanzania lakini pili mkatoliki

kanisa ni moja ila kwakuwa limetapakaa dunia nzima kila nchi ina uongozi wake kikanisa

kuna tofauti kubwa Sana Kati ya Catholic Church of Tanzania na Catholic Church of drc

wakati Catholic drc likijitenga na watawala na kusimamia ukweli kulinda demokrasia na haki za wananchi kanisa katoliki Tanzania linakumbatia watawala linakuwa sehemu ya kusaidia wanasiasa kukandamiza demokrasia

hebu angalia kilichotokea drc kanisa lilisema mapema kabisa kwamba linamjua mshindi na atangazwe huyohuyo kinyume na hapa kwetu ccm imekuwa ikipindua matokeo Mara kwa Mara na kanisa limekaa kimya bila kusema chochote likisubiri sadaka zetu na upendeleo wa kufutiwa kodi na serikali

natumia nafasi Hii kulipongeza kanisa katoliki drc na kulitaka kanisa katoliki Tanzania lijifunze kilichofanywa na wenzao wa drc

hapa kwetu kanisa linajua uovu mwingi Sana unaofanywa na watawala lakini wamekaa kimya wakitoa matamko yao kesho wakitishwa wanayageuka angalau nawapongeza maaskofu wachache kama askofu niwemugizi anajitahidi

wito kwenu kanisa katoliki Tanzania mmekalia kupanua midomo yenu kusubiri pesa zetu za sadaka jumuia ndogondogo zina michango lukuki mnapenda pesa ila linapokuja swala la kutetea umma mnajiunga na watawala

aibu na iwe kwenu wategemezi wakubwa nyie kazi hamfanyi mmekalia kusubiri sadaka zetu mkanywee pombe halafu mwakani 2020 mtajiunga Kama kawaida yenu na watawala wanaodhulumu haki za raia!!!

iwafikie

pengo na genge lake

On point RC DRC ni kanisa la mfano lisilo na unafiki. Kuna maaskofu kipindi cha nyuma waliuawa DRC sababu ya misimamo yao mikali dhidi ya wakoloni weusi lakini hilo halikulirudisha nyuma kanisa katika kupigania haki za wanyonge. Huu ni mfano wa kuigwa kabisa Africa. Kanisa linatambua umuhimu wa haki katika Nyanja zote za Maisha ya wananchi na linatambua kuwa siasa ni Maisha,kusema kwamba unajitenga na siasa ni kujitenga na Maisha ya wananchi wako. Big up RC DR Congo.
 
na ndio maana siku hizi kanisa katoliki linakimbiwa na watu kwasababu ya mambo yenu

1.Hamtetei watu dhidi ya uonezi
2.Mmekaa kitapelitapeli tu mnasubiri sadaka zetu

NB: sipendi namna jpm anavyoongoza nchi na ni mkosoaji wake lakini bora jpm tukimpa kodi zetu pamoja na udikteta wake anajenga miundo mbinu na elimu ni bure pia nchi inalindwa na mipaka iko salama kwa kodi zetu angalau hili unaweza mpongeza jpm walau

sasa nyie kanisa katoliki tunapowapa sadaka zinarudije kwetu cc waumini wenu maana hata hizo shule na hospital sio bure na hutibiwi kwa kigezo cha kuwa mkatoliki ni pesa yako tuuu

aibu na iwe kwenu kanisa katoliki Tanzania wala sadaka
 
On point RC DRC ni kanisa la mfano lisilo na unafiki. Kuna maaskofu kipindi cha nyuma waliuawa DRC sababu ya misimamo yao mikali dhidi ya wakoloni weusi lakini hilo halikulirudisha nyuma kanisa katika kupigania haki za wanyonge. Huu ni mfano wa kuigwa kabisa Africa. Kanisa linatambua umuhimu wa haki katika Nyanja zote za Maisha ya wananchi na linatambua kuwa siasa ni Maisha,kusema kwamba unajitenga na siasa ni kujitenga na Maisha ya wananchi wako. Big up RC DR Congo.
hakika mkuu umesema kweli

hapa kwetu kazi yao ni kula sadaka tu ila mengine hayawahusu aibu Sana watu nyie sadaka zetu tamu dwmokrasia yetu chungu walafi wakubwa nyie
 
Dini zote Tanzania waislam,wakatoliki,madhehebu ya kilokole simamieni HAKI za waumini wenu wasisononeke mioyo Yao kama kanisa katoliki lilivyosimama DRC.Hao kondoo wenu wakija huko wakiwa wamedhurumiwa hawatayapokea mafundisho yenu vile Mungu anataka.Hongera wana DRC hongera Katoliki Kwa kusimama na kondoo wenu.Tanzania tume huru hakuna, Tanzania kondoo/wananchi wametupwa na kila taasisi ya haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasiasa wanajenga misingi ya kutengwa na madhehebu mengine kwa kuamini dhehebu lake ni kuu kuliko lingine

Mfano wangu ni Mzee wetu Mh.Ngoyai na Mh.Lukuvi

Kanisa katoliki na waislamu sidhani kama bado wanawatizama kwa uzuri watu hawa.

Au Lipumba kipindi cha mkwere aliamin katika udini.

Kama wanasiasa wetu ndo hawa sishangai Babu kuungana na mnayemwita jiwe.

Na sitashangaa katoliki kumkumbatia huyo jiwe maana mnaanza nyie kulitenga.
 
Mkuu umeongea point kubwa sana ndo maana jiwe anawadharau anawananga jumapili wanamwekea mikono kama yule pengo ndo mchizi kabisa
 
Dini zote Tanzania waislam,wakatoliki,madhehebu ya kilokole simamieni HAKI za waumini wenu wasisononeke mioyo Yao kama kanisa katoliki lilivyosimama DRC.Hao kondoo wenu wakija huko wakiwa wamedhurumiwa hawatayapokea mafundisho yenu vile Mungu anataka.Hongera wana DRC hongera Katoliki Kwa kusimama na kondoo wenu.Tanzania tume huru hakuna, Tanzania kondoo/wananchi wametupwa na kila taasisi ya haki

Sent using Jamii Forums mobile app
HAO WAISALAMU NDIO HAWAFAI KABISA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naileta Hii Mada kwa masikitiko makubwa kwanza nikiwa Kama mtanzania lakini pili mkatoliki

kanisa ni moja ila kwakuwa limetapakaa dunia nzima kila nchi ina uongozi wake kikanisa

kuna tofauti kubwa Sana Kati ya Catholic Church of Tanzania na Catholic Church of drc

wakati Catholic drc likijitenga na watawala na kusimamia ukweli kulinda demokrasia na haki za wananchi kanisa katoliki Tanzania linakumbatia watawala linakuwa sehemu ya kusaidia wanasiasa kukandamiza demokrasia

hebu angalia kilichotokea drc kanisa lilisema mapema kabisa kwamba linamjua mshindi na atangazwe huyohuyo kinyume na hapa kwetu ccm imekuwa ikipindua matokeo Mara kwa Mara na kanisa limekaa kimya bila kusema chochote likisubiri sadaka zetu na upendeleo wa kufutiwa kodi na serikali

natumia nafasi Hii kulipongeza kanisa katoliki drc na kulitaka kanisa katoliki Tanzania lijifunze kilichofanywa na wenzao wa drc

hapa kwetu kanisa linajua uovu mwingi Sana unaofanywa na watawala lakini wamekaa kimya wakitoa matamko yao kesho wakitishwa wanayageuka angalau nawapongeza maaskofu wachache kama askofu niwemugizi anajitahidi

wito kwenu kanisa katoliki Tanzania mmekalia kupanua midomo yenu kusubiri pesa zetu za sadaka jumuia ndogondogo zina michango lukuki mnapenda pesa ila linapokuja swala la kutetea umma mnajiunga na watawala

aibu na iwe kwenu wategemezi wakubwa nyie kazi hamfanyi mmekalia kusubiri sadaka zetu mkanywee pombe halafu mwakani 2020 mtajiunga Kama kawaida yenu na watawala wanaodhulumu haki za raia!!!

iwafikie

pengo na genge lake

Umeongeza chumvi aisee, nina wasiwasi na ukatoliki wako.
 
Back
Top Bottom