Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mara ya mwisho tulolionana Dar,ulikuwa unaishi Kinondoni Biafra,popote ulipo tafadhali naomba uni PM. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimetafakari kwa kina kuhusu mapito nchi yetu katika kipindi hiki cha kuelekea uchumi wa viwanda na kuelekea uchumi wakati, kuna hali inyoonyesha kuna matabaka kati ya wanaoamini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimekuwa na tatizo la kwikwi kwa siku ya pili sasa.kwikwi hii huja pale tu ninapoweka chakula kwenye tumbo. Nimeshaenda hospital na kufanya vipimo mbalimbali lakini hawajaona kitu...
0 Reactions
69 Replies
14K Views
Mzuqa wanaJF! Naisubiria kwa hamu mechi ya Manchester united Vs Tottenham Hotspur itakayoanza baada ya dakika 15 napoandika huu uzi. Natabiri itakuwa ta kusisimua na ushindani mkubwa sana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
AFRICAN LEADERSHIP MAGAZINE PERSONS OF THE YEAR AWARD & INDUCTION INTO THE CEOS HALL OF FAME, JOHANNESBURG-2019 - African Leadership Magazine BREAKING NEWS: Rais Magufuli ametwaa tuzo nyingine...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
WANAFUNZI 30 wa shule ya msingi binafsi ya Little Treasure, iliyoko Manispaa ya Shinyanga, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali wakati wakirejeshwa nyumbani kutokana na dereva wa basi hilo...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Baada ya ndege ya pili aina ya AirBus A220-300 kupokelewa hapo jana, na Mhe. Rais kuwaruhusu kutumia ndege mbili za Rais, kazi sasa imebaki kwa ATCL kujituma na kuonyesha kuwa hata mashirika ya...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
Tazama video hapo chini ya bwana Tsekedi akifanyiwa maombi maalum na mchungaji Lukau huko Africa kusini miezi michache kabla ya uchaguzi
1 Reactions
2 Replies
1K Views
JE UNAJUA KUHUSU UKIMWI KWA KIASI GANI? Habarini wana Jamii forum… Leo ningependa tuweze kufahamishana machache kuhusu gonjwa hili hatari la UKIMWI kwa kugusia vipengele vichache tu ambavyo...
6 Reactions
26 Replies
7K Views
Kwa masikitiko makubwa leo sisikii kipindi cha Pachanga hapa TBC FM 90.0 MHz (Dsm) Pachanga ni kipindi kinachopiga miziki ya dansi ya ndani ya nchi yetu Tanzania na kimekua msaada mkubwa katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za leo ndugu wanabodi, Mods naombeni msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine ili watu tuweze kupeana elimu na kuokoa kizazi Pamekuwepo na tatizo sugu la watu kujiua Duniani kote (to both...
2 Reactions
4 Replies
921 Views
ndugu wana jf Mimi binafsi siamini hata kidogo tathmini ya ccm na serikali yake eti kwa miaka mitatu ya jpm viwanda 3000+ vimejengwa yani uhesabu moja mpk elfu tatu ni maviwanda tu Hapana hili...
1 Reactions
2 Replies
922 Views
Hello Jf, Leo napenda kuongelea jambo hili linalotutesa waafrika wengi. Jambo hili ni nanma gani kama familia tunafanya makosa ya kiuchumi na kupelekea familia zetu kuwa masikini. Ni nadra sana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
ndugu wana jf wanasiasa wetu wanatuambia kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu toka awamu ya tano imeingia madarakani viwanda 3000+ vimejengwa Naomba tutumie uzi huu kuvitaja popote ulipo hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikiwa imebakia miezi michache kabula ya kuanza kwa michuano ya Afcon chini ya umri wa miaka kumi na saba ambayo kwa mala ya kwanza itafanyika Tanzania, nimeshutushwa na ubaguzi unaofanyika katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni Bank ipi ya Tanzania ambayo unaweza kufungua account ukiwa nje ya Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
764 Views
wakuu naomba wanaofahamu vituo vya wahitaji ambapo naweza kugawa nguo kwao kwa wakati mmoja. Najua kuna maeneo kama makanisani ambapo naweza kupeleka, lakini nilikuwa nahitaji sehemu ambayo naweza...
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari wana JF naamini kuna watu uzi huu hauna mashiko kwao kwa hiyo komenti iwe fupi fupi kidogo Waliofanikiwa kupita interview hadi kwenda kwenye vipimo je kuna aliekwisha itwa?(Medical personel...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukikaa ukaichunguza akili ya mwanaccm lazima upatwe na mashaka kuhusu uwezo wao wa kufikiria upo vipi, lilikuja swala la kikokotoo ndio wakawa wakwanza kulitetea watu wapunjwe mafao yao, Rais...
10 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…