Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ya mwanzo wa wiki wakuu, Siku siyo nyingi nitakuwa na safari ya kuelekea Mpwapwa,Dodoma.Naomba kufahamishwa nyumba nzuri ya kushukia, inaweza kuwa hotel au guest houses, naomba kufahamu na...
0 Reactions
42 Replies
14K Views
habar ya muda huu members, ninaomba msaada ni njia gani ninaweza nikafungua account ya youtube inayolipa kwa maana nina project ambazo nina mpango wa ku upload for something hiv kma kuna yeyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello wazima wakuu? Wale wanaoishi njombe naomba niwe mwenyeji wenu na pia karibu PM tuweze kuwasiliana zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Siku ya leo ni ya furaha sana kwangu kutokana na haya maamuzi magumu niliyoyachukua ya kwenda kupima ngoma katika hospitali moja kubwa jijini DSM!! Maamuzi haya yametokana na tabia ya kuuza...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Dear Mr. President: We need to talk about real issues affecting our people across Tanzania 1. Poverty 2. Poor Education 3. Health outcomes are worse in Tanzania 4. Democracy 5. Sustainable...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto-Idara kuu Afya Dkt. Zainab Chaula leo amekutana na Wakurugenzi wa idara na Wakuu wa Vitengo wa wizara hiyo tangu...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
naomba kuuliza hivi ela za Oman aina ya baisa INA maana hazitumiki huko omani na kwanini Tanzania wanakataa kubadili Baisa, Ila wanakubali Riyal INA maana baisa hazitumiki tena au hazitumiki tz...
0 Reactions
28 Replies
13K Views
Nimekutana na mzazi akilalamika kuwa amempeleka mwanae kidato cha kwanza katika shule tajwa na ameagizwa amnunulie dawati na kuchangia ujenzi wa majengo ya madarasa, kwakweli analalamika sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii sehemu inakera sana mtu unafatilia ID wee na majibu yao hata sio mazuri ivi mnadhani hizo ofisi ni za baba enu? Mtu anaeleza umuhimu wa ID kwa haraka nyie mna relax tuu wajinga sana...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
JKCI yaokoa maisha ya wagonjwa 3,330 By Mtanzania Digital - January 13, 2019 NA VERONICA ROMWALD- DAR ES SALAAM TAASISI ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeokoa maisha ya watu 3,330 waliokuwa...
1 Reactions
0 Replies
435 Views
NILIKUWA NATOKA KUPELEKA CHAKULA KWA.MGONJWA.NAMWONA.KAKAYANGU ANATOA.MACHOZI KUMUULIZA.MATE.NN SHIDA ANANIVUTA PEMBENI YA AMBULANCE UNAMKUMBUKA MAMA YAKO ALIEKUWA.AKITUCHUKUA LIFT FORODHAN...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wadau,wenye uelewa wa haya mambo mnisaidie hivi kama TV zinalipa kwa wenye satellite gharama zikoje? Na kwanini watumiaji tunazipata bure kwenye visimbuzi vya zamani km Mediacom Strong...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Polisi wilayani Sengerema maeneo ya Buchosa wamesababisha kifo cha dereva bodaboda aliyekuwa amebeba samaki maeneo ya Buchosa baada ya kumgonga na gari wakati wakimfukuza baada ya kukaidi kusimama...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Naandika ujumbe huu nikijua wakuu wa vyombo vya usalama hususan polisi wanapitia humu na wanasoma malalamiko ya wananchi. ukiachilia mbali matukio makubwa ya huko nyuma ya watu kupotezwa , kupigwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jamii!, naomba msaada kujua wapi ni sehemu nzuri kufikia karatu (guest house) ambako ntaweza ku park na gari, bei isizidi 40k. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mirungi/Mairungi,Miraa,Veve,Gomba,Kashata n.k. ni baadhi tu ya majina wanayoyaita mmea huu,sanasana huku Kenya.Pia kunao mmea unaotumika Kenya kama tu mairungi na vijana sanasana, unaitwa Mogoka...
1 Reactions
46 Replies
12K Views
Mtoto wa kike wa miaka 12 Milembe Maduhu amekutwa ameuawa kwenye nyumba ambayo haijakamilika katika kijiji cha Lamadi kitongoji cha Lamadi wilayani Busega mkoani Simiyu,ambapo watu 3 wanashikiliwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisikiliza wanasiasa unaweza ukiadhani ndege zetu ni kama maguta. Onjeni muone bombardier za Magufuli ni shida.. Mandhari ya ndani safi kabisa... Ikipaa na kutua haina kelele za mabawa kama ndege...
50 Reactions
144 Replies
14K Views
UWEKEZAJI wa kiwanda kipya cha kutengeneza viatu kinachojengwa unatarajia kutoa ajira za kudumu kwa Watanzania 3,000 kitakapokamilika. Naibu Mkrugenzi wa kiwanda hicho kitakachoitwa Karanga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam jf. Nilkuwa napenda kutoa ushauri juu ya idara ya ulinzi wa Dr. Magufuli kwamba mimi mwezenu nimevutiwa sana na hizi gari za Kimarekani Chevrolet suburban, ziwe ndio za kipaumbele katika...
3 Reactions
47 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…