Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Duh. Haikuwa rahisi. Siku zinaenda taratibu sana but in the end, January will soon be over!
1 Reactions
1 Replies
763 Views
Wale wahenga wanakumbuka hadithi yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu. Nani atakuwa na ujasiri km panya mabaka...hapa ndugu zangu nadhamiria kukuelezea ugumu wa kurudisha tuzo kwa wasanii wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kheri wapendwa wakubwa kwa wadogo Leo ni siku nyingine tena tuutazame mzunguko wa maisha yetu ya kila siku Nianze kwa kusema tu baadhi yetu tumekuwa na tabia au mazoea ya kufanya mambo kwa...
16 Reactions
123 Replies
18K Views
Baada ya kuona vijana wengi wakiwa wafia dini hadi wengine kuwaita wenzao makafiri mda mwingine, ila ni vyema tungeulizana kama mzungu na mwarabu wasingezambaza dini zao Africa leo hii tungekuwa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hasa kwenye mitandao, kuanzia "Shangazi", Miss Sarungi, Miss Ndosi, TLS (ndio), na "the so called" wanaharakati wa "Demokrasia" pamoja na vyama karibu vyote vya ukinzani wanakereka wakikusikia...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
WANAJAMVI PLEASE NAOMBA KUPATA MSAADA WA TOFAUTI YA HAWA WANYAMA WA PORINI NASHINDWA KABISA KUELEWA NA KUTOFAUTISHA 1.NYANI 2.TUMBILI 3.NGEDERE 4.KIMA 5.SOKWE
1 Reactions
50 Replies
14K Views
Vitabu vilivyopo mashuleni ni tatizo Mimi kama mzazi nimemnunulia wanangu vitabu darasa la iv na v si vitabu vizuri. Sio lazima kuchambua humu, kama wewe ni mzazi na unafuatilia mambo ya shule...
4 Reactions
90 Replies
11K Views
Mimi ni mtanzania halisi lakini nataka nibadili uraia wangu ili nichukue uraia wa nchi nyingine. Tafadhali mwenye uelewa wa haya mambo naomba anisaidie kujua hatua za kufuata ili niweze...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Unakuta kadi ya bank kimuonekano iko vizuri lakini unatumiwa ujumbe 'kadi yako mwisho wa matumizi ni tarehe fulani uje uombe nyingine'. Sasa wanafanya hivyo kwa usalama wa akaunti au hayo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mambo vip wadau? Kwa kua gharama ni kubwa nauliza je zikirudi kutoka kweny service Canada kwanini kusiwe na utaratibu wa kuzipokea? By Masue 1 Buzebazeba Ujiji...
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Mambo vip wadau? Kwa kua gharama ni kubwa nauliza je zikirudi kutoka kweny service Canada kwanini kusiwe na utaratibu wa kuzipokea? By Masue 1 Buzebazeba Ujiji...
1 Reactions
3 Replies
758 Views
Habari za asubuhi wanajf wote. Ni hivi........... Nina tatizo moja au hali fulani ambayo huwa inanishangaza sana na sijaielewa bado. Nikisema na nikijipa matumaini kabisa na kujua toka ndani ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Jumanne ya tarehe 15 tunamshukuru mungu kwa wale tulio wazima WA afya na wale wenye shida mbalimbali tunamuomba mungu awaponye ili waweze kurudi Katika majukumu yao ya kila siku. Kumekucha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
0 Reactions
120 Replies
15K Views
Natazama TV hapa nikakutana na kero ya ongezeko la sauti kubwa na ya kuboa pale linapoingia tangazo la biashara. Nadhani hii changamoto sasa inahitaji kuundiwa kanuni au sheria kabisa. Mtu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kilimo ni kazi inayotoa sana. Ukilima ukawa serious kabisa , mtumishi wa umma na kamshahara kake hamna kitu kabisa. Ukilima maeneo yenye maji yanayotirika kwa gravity muda wote unatoka haraka...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
1. Uchafu umemalizika kabisa na Jiji ni safi kama London na New York 2. Usafiri kwa Jiji la Dar es Salaam ni mzuri kama wa Paris 3. Wanafunzi wa Shule sasa hawaonewi na wenye Madaladala 4...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikuwa wodini nauguza basi kwa jirani ya kitanda cha wodini kulikuwa na mtu mwingine anauguza pia alipofika doctor akamwambia siwezi kukupa majibu ya vipimo mpaka mgonjwa akubali,,,anhaaaa kumbe...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Ni mara nyingi jamii zetu zimekuwa zikiishi katika mifumo ambayo inazorotesha utu na ubinadamu na kufanya maisha yawe ya kinyama. Jambo la kushangaza ni kuwa watu hawana habari na mabadiliko haya...
3 Reactions
0 Replies
739 Views
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya...
15 Reactions
122 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…