Naomba Kuuliza hivi Ndege ambazo ni mpya kabisa ' Kitaalam ' huwa zinatakiwa kufanyiwa ' Service ' baada ya Miezi 24 au 36 au 12? Manake kuna Ndege Mbili mpya kabisa za nchini Nicaragua hazina...
Serikali yafuta mashamba sita ya Mohammed Enterprises
Serikali imeyafuta mashamba sita yenye ukubwa wa hekari 12, 915.126 ya kampuni ya Mohammed Enterprises yaliyopo korogwe mkoa wa Tanga...
Tangu sakata la Spika na CAG liibuke,nimekuwa nikitafakari kuhusu kinachoonekana ni kosa kwa CAG kuongelea udhaifu wa Bunge katika kufanyia kazi ripoti zake.
Nilijiuliza maswali haya...
Types of Governments
Most states have one main leader along with parliament or assembly of politicians. The main types of governments are listed and explained below. A state can have a...
Precision Air wanaudhi kupita maelezo, ati wameoverbook watu yaani tupo airport, flight ya Kia - Nairobi, wanasema imejaa.
Sasa jamani kwanini wanafanya hii biashara kama daladala sasa mtu...
NDEGE ndefu zaidi duniani ipo tayari kwa ajili ya kuanza kutengenezwa kwa ajili ya kibiashara na abiria.
Hatua hiyo inakuja baada ya sampuli ya awali ya ndege hiyo, Airlander 10, yenye thamani...
Kazi ni haki ya msingi na ni jambo zuri kwa mwanadamu katika kuyamudu na kuyaendeleza maisha yake yaweze kuendana na mpango mzima wa kuumbwa kwake. Kazi kimsingi inamsaidia na kumpa mtu thamani ya...
Wahakiki wa mashamba ya korosho mkoani Mtwara walipata wakati mgumu baada ya kutokewa na kundi la manyigu wakati wakiendelea na kazi.
Wahakiki hao walikuwa wameandamana na mkuu wa wilaya ya...
Wapendwa toka jana kumekuwa na shida ya umeme kukatwa asubuhi kurudi usiku
Leo umekatwa mchana mpaka sasa wananchi wako gizani
Mnaweza kutujuza kama ni mgao ama lah..Kama wenzenu TANESCO kama...
Kwa wale wataalamu wa masuala ya ardhi naomba msaada, hivi kama Kiwanja ulikinunua kwa mtu kikiwa kimeshapimwa wakati wa ufuatiliaji wa hati kuna malipo yanaitwa premium Kama inavyoonekana kwenye...
Habari wakuu
Nikiwa mapumzikoni nyumbani Geita nimekutana na kesi ya mtu kupiga mimba na kuambukiza virusi vya ukimwi
iko hivi kuna jamaa ana eneza VVU kwa makusudi, anafanya hivi hasa kwa watoto...
VIETNAM ni moja ya nchi zilizopiga hatua kubwa ya maendeleo barani Asia. Mwaka 1986 Serikali ya Vietnam ilianzisha mageuzi makubwa ya uchumi yaliyowezesha kuitoa nchi hiyo kwenye kundi la nchi...
GT barafu aliahidi jana atashusha nondo na madini ya hatari sana humu kuhusu sakata la balozi Canada. Niko macho hadi sasa sijaona thread yake yoyote. Naenda kulala sasa ila nawaombeni tu mnitag...
Wameharibu maghala kadhaa ya silaha ambazo zilikua zinapelekwa kwa kundi la kigaidi la Hesbullah.
Tena hayo yametendeka ndani ya uwanja wa ndege.
Halafu mnadai eti kuna s300...
Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na utunzaji wa Mazingira lijulikanalo kama LEPAJE limezindua kampeni ya uoteshaji wa miti ya matunda juu Makaburi kwa lengo la kuendeleza mapambano...
Shit nilikuwa naanza kujivunia uwepo na ukuwaji wa Bank M Tanzania mpaka nilipokuja kuona kwamba kumbe nayo kama vilivyo vitu vingine vyote hapa TZ ni ya ni Wahindi/Waarabu/Wazungu shiiit!
Hii...
Taarifa zinasema jiji la Mwanza halina maji kwenye baadhi ya viunga vyako katika wilaya zote mbili za Nyamagana na Ilemela kwa muda wa takribani wiki sasa,
Shida inasemekana mashine/pump ya...
Habari wana Jf
Nahitaji lain ya M-PESA isiyo na shida yoyote kwa watu wa mkoa wa mbeya tu maana muhitaji wa hiyo lain yuko mbeya mjini.
Kama unayo na unapatika mbeya hasa mbeya mjini wasiliana na...