Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama ni mfuatiliaji wa mambo utagundua kuwa kila penye US military base huwa hakuna utulivu wa kisiasa na amani imara. Lazima patatokea mivutano tu hata kama haitahusisha umwagaji damu. Lakini la...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Hii imetokeo leo katika kikao cha bunge la jumuiya ya Afrika mashariki kinachoendelea mjini Arusha...Wabunge wamegoma kupokea taarifa ya kamati ya fedha wakitaka waliohusika na ubadhirifu na...
11 Reactions
23 Replies
4K Views
binadamu wote ni sawa wapo wenye roho nzuli na wapo binadamu wenye roho mbaya zaidi sasa leo hebu tuangalie mambo ambayo huwafanya watu wengi haswa sisi ngozi nyeusi tuwe na roho mbayaaaaa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ameondoka kishujaa, ametoka kanisan kuimba akaenda IDM kwenye kikao cha viongoz wa kwaya, baada ya kikao wakaenda Kilimahewa kupiga picha za mwaka mpya,,, moja ya picha alipenda apige akiwa...
2 Reactions
71 Replies
14K Views
WanaJamvi, Kazi anayoifanya kangi Lugola nzuri sana katika safisha safisha ya vibaka na wala rushwa, sasa Mzee Kangi ni zamu yao polisi woote kwenye maeneo ambayo yanalipotiwa kuwa na matukio ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna hiki kitu WIZI, wizi ni kujitwalia kwa njia ya kificho kisicho chako kwa njia ya kukimiliki kukitumia au kukiuza ili upate chochote au ufaidike. Kuna aina nyingi za wizi lakini leo...
13 Reactions
102 Replies
12K Views
Tangu Biashara ya Ubashiri na Bahati nasibu kwa njia ya mtandao ianze, sasa hivi imekua kero Hapa nchini hasa kwa watu ambao, hawapo "Interested " na Huduma Hizo!! Labda utakuwa bado hujaelewa...
16 Reactions
76 Replies
10K Views
Bila kupoteza muda mh rais shirika la bima la taifa linatapeli wananchi kwa makusudi Soma mfano huu! Wanakuja wanakuambia weka bima ya elimu na hata wanadiriki kusema Kama unataka kufunga ndoa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakika ni juhudi zetu sote tukiongozwa na maono ya Viongozi wetu chini ya Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania Mheshimiwa John magufuli.
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa yeye c rais dhaifu kama watu weng wanavyodai, na amesisitiza kuwa mara nying hufanya maamuz magumu, ila hufanya kwa manufaa ya nchi na si kwa ajili ya kusifiwa...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
*VIONGOZI WA DINI, NGOs WASEMA NDIYO KWA RAIS.* [emoji842]Kikao cha kuimarisha uhusiano kati ya serikali, Taasisi za dini na Taasisi zisizo za serikali (NGOs) chafanyika Wilayani Same...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
UFISADI MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO WAPATA BARAKA ZA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MH.BALOZI H. KAGASHEKI (MB). Bajeti ya Wizara inategemewa kupitishwa wakati kukiwa na ufisadi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hawa jamaa hapa duniani ni kama vile Dj, ndo wanaamua watu wacheze mziki gani. Ni ukweli usiopingika jamaa hawa wako vizuri sana kwenye PROPAGANDA. Wanaamua tu watu wengine wawe na mtazamo gani...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imesema itaanza msako mkali kuwasaka wanufaika zaidi ya 109,980 ambao hawajanza kurejesha TSh. bilioni 291.5 Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul- Razaq...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Hii dunia ya sasa ina maajabu sana ,unapita makaburini unakuta kaburi limejengewa ukubwa wa meter 3/5 mtu1. Hivi mnataka baada ya miaka50 wengine wazikiwe wapi? Hakuna kitabu cha dini kinacho...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwenye kufaham atujuze Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kila siku kukuta malalamiko ya utapeli yanayolalamikiwa dhidi ya tovuti ya Zoom kuhusiana na mambo ya ajira. Je, TCRA haina wajibu katika kufuatilia jambo hili?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzuqa! Toka mwanzo la sakata la huyu Binti Rahaf Mohamed Aljazeera utadhani wamemeza gundi. Wanairusharusha kiuogauoga na wanaipotezea sana habari zake. Kwa mara ya kwanza kuiona Al-Jazeera ikiwa...
2 Reactions
94 Replies
11K Views
KUULIZA SI UJINGA.SINEMA YA "SIAJI NA MSEMAJI".MLALAMIKAJI INAONEKANA AMEISHA MTIA HATIANI MLALAMIKIWA( KWA kauli zake anazotoa MSEMAJI.).MSEMAJI ndiye boss wa bodi ya kumsikiliza SIAJI.HII...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…