SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Gerezani, Dar es Salaam na Japan kupitia shirika la lake la Maendeleo (JICA), ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya...
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini
Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika, nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana...
Dini mashuhuri zimeanzia
UYAHUDI - UKristo na Judaism
uARABUNI - Uislam
INDIA NA CHINA - Wabudha na wahindu.
Hadi sasa hakuna dini maarufu iliyoanzia Ulaya, Amerika au Afrika hasa Tanzania...
Habari wakuu..?
Wakat nafikiria hekaheka za kuachana na kuminyana kwenye mwendokasi, Kuna jamaa anataka kuniuzia premio new model yenye namba DA... kwa shillingi million 7.
Nipo najifikiria kwa...
Leo mahakama imetoa hukumu ya rufaa aliyokataa Michael Richard Wambura juu ya kufungiwa kwake na kamati ya maadili ya Tff.Mahakama imetoa pingamizi hilo na kumrudisha Wambura kwenye nafasi yake ya...
" Kitendo alichofanyiwa Mhe. Zitto Z. Kabwe leo Bungeni na Afisa wa TISS, ni cha uadui, ni cha hatari na cha aibu kwa Idara ya Usalama wa Taifa. Adhabu ya kufanya fujo Bungeni haiwezi kuwa kifo na...
Hivi karibuni Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo, akiwa kwenye ziara ya Makamu wa Rais Wilayani Simanjiro, alielekeza uongozi wa wilaya ya Simanjiro kuanza ujenzi wa hospitali ya Wilaya.
Agizo...
Waungwana hiki ndio kipindi utasikia SASA RUKSA KUUZA MAHINDI NJE,pia utasikia BAA ZIFUNGULIWE MASAA 24,mara RAIS AONDOA KIKOKOTOO,pia ASKARI MARUFUKU KUKAMATA BODABODA BILA YUNIFOM,tena,DHAMANA...
Wafugaji kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara wamefanya maandamano ya amani Mjini Babati Mkoa wa Manyara kumuunga mkono Rais John Magufuli kuhusu uamuzi alioutoa hivi karibuni juu haki...
Salaam Wadau,
Moja ya mambo magumu kwangu binafsi imekuwa ni katika kuchagua na kufanya maamuzi magumu yenye faida kwangu.
Nimekuwa mtu wa kupenda kushirikisha wengine kunishauri bila shaka...
NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameridhia kutimuliwa kwa mkandarasi wa Kampuni ya Mazongela Building Construction, ambaye alipewa kazi ya kujenga tangi la maji la mradi wa Kijiji cha Boga na...
MKAZI wa Kijiji cha Busale Kata ya Busale wilayani Kyela mkoani Mbeya, Zawadi Daudi ( 41), anadaiwa kuua mkewe, Hawa Kamwela (32), kwa kumcharanga kwa panga kwa madai kuwa anamlazimisha kumpeleka...
Hili limejidhihirisha Jana wakati Rais alipokuwa akiongoea na wadau wa sekta ya madini, ya kwamba kuna kutawala na kuongoza . kiongozi unapokaa na raia na viongozi pamoja katika kujadili maisha na...
Watanzania wataanza kulipa gharama kubwa zaidi ili kupata huduma za benki baada ya taasisi hizo za fedha kupandisha ada ya huduma kwa hadi asilimia 50 , hii ni kuanzia february mosi
Hali hiyo...
Kama Serikali inafuatilia elimu kwa kina na pasipo ubaguzi hii shule ya Must Lead iliyopo Msata Masuguru ina nyanyasa sana sisi wazazi
Kuna mtu anaitwa ticha ndege na somebody madam Anna...
Habari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala
Sitaki...
Credited by, Remez Sasson
Mind power is one of the strongest and most useful powers you possess.
This power consists of your thoughts.
The thoughts that pass through your mind are responsible...
Tendaguru ni eneo linalopatikana katika Wilaya ya Lindi Vijijini, takriban kilomita 60 kaskazini magharibi mwa mji wa Lindi. Tendaguru au Tendeguru ni neno la Kimwera, likiwa na maana ya kilima...
Inaonekana pagan tumetengwa na uwepo wetu hautambuliki kabisa, najitahidi kuangalia mkutano wa viongozi wa dini na Mh.Rais huenda nikamwona mwakilishi wetu lakini mpka muda huu sijabahatika...