Hivi huko kwenu wanawake wengi sana?
Vipi hali ya sasa wanawake wapo kweli?
Wanaume mnawafanya nini wanawake?
Maana hawa wadada wa huko wamekuwa gumzo mikoa mingi huu mkoa wa tanoLeo nawakuta...
Ni nchi pekee barani afrika kwa watu wake kuwa wakalimu na wavumilivu na pia ni nchi pekee Africa watu wake wanapenda sana kuongea lugha ya taifa ata wakiwa ofisini na wakiwa majumani na ni nchi...
Habari za jioni wapendwa naomba anaetumia remote ya universal anitumie code no za LG TV remote yangu imeleta shida mpaka kuingiza code hzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina milioni tatu.Je ninaweza kupata nyumba ya kununua DODOMA maeneo ya kibaigwa? Au kwa hiyo hela naweza kujenga nyumba ya kawaida kwa maeneo hayo?? Nawasilisha kwenu.
Sent using Jamii Forums...
Zimebakia siku chache sana kabla matingatinga ya serikali kuingia ndani ya mji mdogo wa Kibaha maili moja kubomoa na kusafisha eneo lote tayari kwa ujenzi na uwekezaji wa kisasa ikiwemo mahoteli...
Huwa naamini siku zote kama kuna jambo linanitatiza nikilileta JF lazima ntapata solution. Ni hivi wakuu,teknolojia sasa hivi iko juu sana hususan katika hivi vifaa vya kidijitali (DIGITAL)...
Nimewazaaaa....nimetafakari sanaaa. hata niringe vipi, niwe na kiburi cha uzima cha level gani, ninyenyekewe na watu wote duniani, nipate kila nalotaka hapa duniani, kitu kimoja siwezi kwepa na...
Ajali hiyo imelihusisha basi la Kampuni ya Fikoshi linalofanya safari zake za Mwanza na Kigoma
Basi hilo lilipoteza uelekeo na kupinduka.
Ajali hiyo imetokea eneo la Uvinza Mkoani Kigoma usiku...
Baraza la Sanaa Tanzania hatimaye limewafungulia rasmi wasanii Diamond Platnums, Rayvvan na Wasafi Festival yao mara baada ya kuwafungia toka mwaka jana.
Swali: Kwa nini sehemu zote za Tanzania ambazo waharabu walipita sehemu hizo ni masikini sana na watu wake ni wavivu, sana kufanya kazi, Omba omba, kazi zao sana sana ni kunywa kahawa, na kuwa na...
HABARI WANDUGU
KUNA TATIZO GANI NSSF MKAWADHAMINI WANACHAMA KATIKA MABANK KUPATA MIKOPO KULINGANA NA MICHANGO YAO
SIO KUWEKA CONDITION ZA AJABU AJABU
PINDI MWANACHAMA ANAPOTAKA KUTOA MICHANGO...
Wananchi wa kijiji cha Ikondo kata ya Ikondo kilichopo Lupembe wilaya ya Njombe wametishia kugoma kushiriki katika shughuli za maendeleo mbele ya mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri endapo...
Kwa kweli inasikitisha kuona raia hawana amani na Jeshi la Polisi nchini.
IGP na viongozi wengi wamekuwa wakiomba umma kutoa ushirikiano kwa Polisi ili kuweza kukomesha vitendo vya kihalifu...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenda gerezani kumuhoji mshtakiwa Alloyscious
Mandago katika kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya...
Ukimsikiliza kwa sikio la ndani ... Utaelewa... Nilikuwa na MNEC mmmoja ...akasema wakipatikana hata watatu ndani ya chama..wakuweza kumwambia bila kupepesa macho tungekuwa mbali sana. Nkamwambia...
Nimejikuta namuonea huruma mmoja wa marafiki zangu ambae tulikuwa tunasoma wote na tumecheza wote pale mipango yake harusi ilipovurugika kwa kukosa watu wa kumchangia ikiwemo ndugu na...
Omba sana siku isitokee ukamatwe na mlinzi ambaye ni kiziwi au bubu mida flani ya usiku usiku kwenye lindo lake, hata kama pale umepita kwa bahati mbaya na ulikuwa huna nia ya kufanya lolote baya...
Salaam wakuu
Ni hivi nilikua naenda kwa waganga wa kienyeji kwa nyati tofauti sasa nimebahatika kukutana na watumishi wa Mungu, wachungaji, mapadri, mashehe na walokole kwa waganga.
Yaani...
Kwenye miaka ya 80,90 adi mwanzo ni mwaka miaka ya 2000,tulikuwa tunaambiwa sana mtaani ya kwamba jamaa Kajenga nyumba uku akiwa mwanafunzi wa chuo kikuu .Yaani ukiona boma limeanza kusimama alafu...