Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MKAZI wa kijiji cha Kisiwani Nkumba, Muheza mkoani Tanga, Batuli Khalid, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumchoma mtoto wake wa kike kwa kijinga cha moto katika sehemu za siri...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Wasalaam wana jmvi. Kati ya jambo lilostua watu wengi hapa nchini ni kusikia kuwa shule za seminari za kanisa kushiriki katika wizi wa mitihani na udanganyifu na uku wakuu wa shule hiyo na walimu...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
najua Kuna watanzania wengi hawaelewi kuhusu hili Jambo.... natoa mfano rahisi... darasa Lina wanafunzi 60 mwaka Jana na wakafanya mtihani wakafaulu 45 .... mwaka huu darasa Lina wanafunzi 80...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mnamo mwaka 2017-2018, kampuni ya Acacia inayomiliki Migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu ilisimamisha wafanyakazi zaidi ya 1000. Hii ilitokana na usimamishaji au usitishaji wake katika kuzalisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu tukio la hivi karibuni lililotokea huko Mwanza la kukamatwa kiasi kikubwa cha madini aina dhahabu na fedha taslimu Tshs 300,000,000/= Katika sakata hilo...
2 Reactions
100 Replies
25K Views
Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika Waziri wa Nchi, Ofi si ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika View Comments WAZIRI wa Nchi...
2 Reactions
85 Replies
18K Views
Good day everyone.... I stand here to express my heartfelt feeling of love and appreciation to you...the time I had been with you during my field attachment,had left me with very remarkable...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimeona hii kwa baadhi ya taasisi za fedha (benki) ukiingia na simu yako hawataki uitumie kwa namna yoyote iwe ni kupiga, kupokea simu, kuangalia sms au chochote kwenge simu yako. Binafsi hii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mtu tumesoma chuo kimoja, tumeajiriwa pamoja tofauti ni taasisi tu cha kushangaza mishahara inatofautiana kwa kiwango kikubwa sana. Mfano mtu yuko Shirika la bima na mwingine yuko ofisi ya...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wanachama walionufaija na elimu ya ujasiliamali wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya Namaingo. Mr...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Wanachama walionufaika na elimu ya ujasiliamali Namaingo wajivunia ukuwaji wao wa fikra na kiuchumi kupitia elimu hiyo na mabadiliko ya fikra waliopokea kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni hiyo...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Guys, habarini za usiku huu. Kuna kitu najiuliza sipati jibu ni kuhusiana na internet ya airtel ambayo mpka leo hii wapo 3G na inaonekana hawatak kabisa kwenda juu kwenye 4G km tigo au vodacom...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Message…R I P OLIVER MTUKUZI. mwanamuziki mkongwe ndani ya Afrika amefariki siku ya jana akiwa hospitalin nchin kwao
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa napotatizwa na jambo ambalo ninahitaji kupata ufumbuzi wake,nalileta JF kwa sababu naamini 100% ntapata solution. Wakuu sasa hivi teknolojia iko juu hususan katika hivi vifaa vya kidijitali...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar, Jamani kuna mtu anataka kunitumia ela toka Uganda namdai, ivi kuna njia gani anaweza akatumia ili kunitumia ela?? na mimi Sina account ya bank nilikombaga akiba yote nikafunga akaunt...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Heshima y enu wakuu... Naombeni msaada wa formula ya kutafuta malipo ya kiinua mgongo kwa mfanyakazi wa NGO...aliyefanya kazi kwa miaka saba na basic salary ya tsh 530000/-..natanguliza shukrani
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Tunashambuliwa,tena mashambulizi ni makali.If you think it's a joke folks,watch this you tube video.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nakumbuka wakati Mwalimu Nyerere anang'atuka madarakani mwaka 1985 katika mikoa mitano aliyotembelea kuwaaga watanzania Morogoro ulikuwa ni moja ya mikoa ambayo alikuja kutuaga nilikuwa huko...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…