KIPIMA JOTO
Inasemekana ili pesa husika ya nchi iweze kuwa na nguvu inabidi watu wake wajikite katika uzalishaji wa huduma na bidhaa zenye manufaa kwa watu wengine. Je, usukaji wa 'mikeka' hewa...
Mwaka jana Baraza la Mitihani NECTA lilifuta matokeo ya mitihani ya kumaliza elimu ya msingi kwa baadhi ya shule za msingi Dar na za wilaya nzima ya Chemba mkoani Dodoma kutokana na udanganyifu...
" Watu wajifunze kujenga mahusiano. Unakuta kijana umemualika mahali lakini muda wote amatumia simu (anachat), anazungumza na watu ambao hawako pale badala akae umpe nasaha zake. Kwa hiyo vijana...
Nisiwapotezee muda,kama mada inavyosomeka mungu kakujalia uwezo wa kutenda mambo mawili makubwa kwa watu wawili tu. Mmoja anatakiwa kupewa adhabu ambayo itamfanya ajutie matendo yake mabovu aliyo...
Wanaume wawili wanaojulikana kwa majina ya Joseph Nziku(35) Mkazi wa Mkazi wa Mtaa wa Magegele Mjini Makambako na Alphonce Danda(51) Mkazi wa kijiji cha Ibumila wanashikiliwa na jeshi la polisi...
Wale ambao tulishawahi kufanya mambo ya ajabu au matukio ya ajabu katika mazingira fulani fulani tukiwa na akili zetu timamu halafu mwishowe tunakuja kudhalilika au kuponea chupuchupu tusimuliane...
Nimenunua tofali 400 nimebakiwa na laki 5 natafuta mtu mwenye akili nyingi aniambie jinsi ntakavyokamilisha hata chumba kimoja na kuhamia ikibidi kabaki kachenchi hata elfu 5.
Pia nina mifuko 10...
Wakuu kifuatacho kwenye screenshot ni maneno yaliyoandikwa na DED wa Halmashauri ya Mwanga, ndugu Zefrin Damian Lubuva kupitia ukurasa wake rasmi wa facebook.
Ukiangalia kwa makini humo ndani...
WATU wanaodaiwa kuwa majambazi, wamevamia nyumba ya kulala wageni ya Malema Lodge katika mtaa wa Sinde jijini Mbeya, inayomilikiwa na Diwani Viti Maalumu (CCM), Mary Malema, kisha kufanya ubakaji...
WAKULIMA wa skimu ya umwagiliaji ya Mnazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, wamefanya maombi maalumu ya kumuombea Rais Dk. John Magufuli baada ya kuwaruhusu waendelee kuutumia...
Wadau nawasalimu wote,
Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa au kuzuiya (ku dis-able pop up ads) kwenye simu. Ninatatizwa na kukuwaza sana na matangazo hasa yanayojitokeza kwenye simu wakati...
Habari za hapa Jukwaani
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Kahama-KUWASA inapenda kuwatangazia wananchi wote kwa ujumla kuwa kuanzia tarehe 4/1/2019 gharama ya maji itaongezeka kama...
Mods naomba msiunganishe uzi huu mana na nyie mmekuwa kama mnahusika na mitandao kila tukiweka uzi wa aina hii mnafuta au kaunganisha na nyuzi za miaka sita nyuma.
Kiukweli upande wangu imegeuka...
Tanzania imeanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa mabilioni ya Shilingi wa kuunganisha umeme kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na zile za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
Baada ya matokeo ya kidato cha 4, baadhi ya watu wamedai kuchukua hatua kuwahoji baadhi ya wanafunzi hasa wa shule moja ambayo matokeo yao yameshangaza sana - ili eti kupima uwezo wao wa akili...
Kwanini shule za Serekali hazipo hata top ten matokeo ya kitaifa?
Seminary pamoja na shule nyingine binafsi wanafundishaje?
Je ni kweli kwamba Serikali haijui mbinu wanazotumia hawa jamaaa...
Kwanza kabisa natoa pole sana kwa walimu,wote Tanzania kwa kufanya kazi nzuri ambayo serikali haioni mchango wake! Matokeo mazuri ya wanafunzi yakitoka anayepewa sofa Ni serikali ambaye ndio...
Wakati Lissu akihaha kuwalaghai wazungu na sasa wamemstukia na kumkataa, Rais Magufuli azidi kung'ara katika vyombo vya habari vya kimataifa.
SOMA HIYOOOOOOOOOOO...
Mkazi mmoja Mkoani Njombe amenusurika kifo mara baada ya kujaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya kushindwa kurejesha michango ya wanachama inayokadiriwa kuwa kiasi cha shilingi laki sita.
Hayo...