Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanandugu habari za muda huu naomba kuuliza maana ya majina IVAN na IVANNA Yana maana gani?? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
66 Replies
12K Views
Benki ya CRDB imefanya mabadiliko kwenye baadhi ya ada za huduma zake yatakayoanza kufanya kazi kuanzia Februari 15, 2019. Taarifa iliyotolewa na uongozi wa CRDB imeeleza kuwa ada hizo pamoja na...
4 Reactions
103 Replies
29K Views
Habari zenu wanajamii forum.. Nilikuwa nimekaa sehemu kwenye pub fulan jijin dar, nikaona kasi kubwa ya vijana wanaokuja kununua condoms japo wao wanaziita majina tofauti tofauti nikajisemea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ambayo ' haivumiliki ' Madaktari wa Hospitali moja huko nchini Kenya wameamua kumfanyia Binti ' Oparesheni ' ambayo hawakutakiwa kuifanya baada ya Kuamua...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna hospital ya MOYO safi ,imemkuwa kero kwa wagonjwa , nyakati za usiku!! Haina wataalamu!! Ukienda pale utakaa masaa matano hadi upate hudumu umekufaaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Serengeti. Akiwa ofisini kwake Januari 24 saa nne asubuhi, ofisa Elimu Taaluma Sekondari Mkoa wa Mara, Elisenguo Mshiu alipokea barua kutoka kwa katibu muhtasi wake iliyogongwa muhuri wenye maneno...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini wakuu Inaelezwa kuwa Serikali imeongeza kodi ya kuingiza samaki nchini, samaki wengi ambao tunakula wanatoka china (nilikuwa sijui hili) Chanzo kinasema Tanzania hatuna uwezo wa kuvua...
20 Reactions
107 Replies
53K Views
KUCHOMA MELI MOTO, The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania Bendera ya TKAGERA, Tanzania WAHAMIAJI haramu 14,101 (walowezi) walioingia nchini kabla ya uhuru wataondolewa nchini na kurejeshwa katika nchi zao. Msemaji wa idara ya uhamiaji nchini...
4 Reactions
107 Replies
26K Views
Nimekuwa nikifuatilia matokeo ya darasa la saba form four na hata form six lakini kinacho nishangazi ni matokeo kuwa mabaya kila mwaka kwa shule zilezile za mikoa ileile yaani Unguja, Tanga, Lindi...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana Jukwaa : Ni wazi kwamba HAKUNA mtu anayezaliwa akiwa na Moyo wa kutoa .nikawaida kwa mtoto mchanga kutaka kutosheleza mahitaji yake bila hata kujali masilahi ya wale wanao mtunza...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita mwanamziki, mwanaharakati na mwanasiasa wa nchini uganda bobi wine alikuwa nchini jamaica kwa ziara ya kimuziki aliyoalikwa na mwanamuziki nguli wa mziki wa reggae duniani...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Watoto watano wa familia moja wakazi wa Shehia ya Shanake wilayani Micheweni kisiwani Pemba, wamefariki dunia na wengine wawili akiwemo mtu mzima mmoja wamelazwa katika hospitali ya Micheweni...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hello JF Nimeokota Academic Transcript ya UDOM JINA: RAMADHANI, SAID REG: T/UDOM/2011/02961 COLLEGE: EDUCATION PROG: BACHELOR OF EDUCATION IN SPECIAL NEEDS Kama unamfahamu muhusika basi mjuze...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
SERIKALI imerejesha mali zote 10 za Chama Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Mwanza (Nyanza), zilizokuwa zimeporwa na kuhujumiwa na baadhi ya watu binafsi pamoja na wafanyabiashara kwa kujiuzia kwa...
4 Reactions
25 Replies
7K Views
Kama mmepiga marufuku matangazo ya kamari kwenye redio na TV, Pigeni pia marufuku kwenye SIMU. Ni ngumu kukaa lisaa bila kupokea haya maujumbe (SMS) ya kamari kupitia simu za mkononi, unaweza...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuweka record clear, Kama mnavyofahamu pale UDSM kanisa Katoliki na makanisa yaliyoko chini ya jumuia ya CCT wanatumia kanisa moja kwa maana ya jengo; Miaka ya nyuma walikuwa wametenga fedha za...
10 Reactions
125 Replies
14K Views
Wana JF,hii kadi imeokotwa na watoto Leo so mwenye kumfahamu mmiliki wake au hata mawasiliano yake ,plz ni PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Katika mikakati yetu ya kujikwamua kiuchumi nadhani tungempa mwananchi wa hali ya chini umeme usio na gharama kubwa kwake, hasa wa kijijini badala ya petroli na diesel na kumwongezea gharama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba waungwana mnisaidie kudadavua hapa.
3 Reactions
64 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…