Maana na majina haya ni ipi?

Maana na majina haya ni ipi?

Sijui Aiseee !! Watu wanayatumia sana tumeacha yetu ya asili tukiona ni ujanja kujiita ya kizungu na wazungu hutushangaa sana eti mbantu kuitwa Harry Alex Steven!?.. Au Jamal idrisa!?? We are so stupid !!! Ulishaona wapi mzungu akijiita Atupele!??au mwarabu kujiita Ndesanjo!?
 
Lindelaga abiyo bize mledeba abasukuma mLe na manene sana ekale eyo mamiaka ga 1974 nakasama shule nokamanya na basukusuma nane nde mnho wa congo natadebile Kisukuma nadokelagwa shaminara nawelwa egeko Ho kogesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mina nkwingwa agenayo, na hobha he?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi napenda mno Kisukuma na ndiyo maana ukiondoa lugha ya kabila langu lugha ya pili kuimudu ni kisukuma huwa napenda kutaniana na wasukuma wa bariadi
Mie nafahamu Lugha za asili za kutosha na nazipenda haswaa..!

Naongea kisukuma japo sio msukuma kabisa, najua kinyiramba, kinyaturu, kitaturu, kipogoro, kindamba na kingindo, wote hao nilijua maana ni watani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nafahamu Lugha za asili za kutosha na nazipenda haswaa..!

Naongea kisukuma japo sio msukuma kabisa, najua kinyiramba, kinyaturu, kitaturu, kipogoro, kindamba na kingindo, wote hao nilijua maana ni watani zangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lingala lugha ya baba na mama
Kisukuma
Kizinza
Kihaya
Kijita
Na zingine kidogo kidogo
 
Lingala lugha ya baba na mama
Kisukuma
Kizinza
Kihaya
Kijita
Na zingine kidogo kidogo
Baba, Kula wine hapo chap kujipongeza...!!!

Inaonekana Ww sio mwanaume wa Dar, maana ni kawaida kukuta mwanaume wa Dar anajua Kiswahili na kaInglishi ka kuzugia, ndio utakuta anampa mtoto majina kama Masumbuko, kituko, lazima, IVAN, IVANNA, idrisa, n. K.

Njoo unyirambani tukupe majina mzuri kama Mkumbo, Mkilya, Lyanga, Mgelwa, Nkyalu, Shila Kyunyu, n. K. Mabinti utasukia Gyole, Nsumbu, Keli, Salu,...... Ni balaa.

Upogoroni utasikia Mfungahema, Mfutakamba, Libenanga, Njokamtali, Njokamahenge, Likangasimba no.

Wacha weeee... Jamaa vizuri sana, Jitahidi uongeze lugha zingine tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana kijana

Mbali na majina ya kabila husika hata ya majina ya kiswahili nayo yanapendeza mfano unaweza kumwita mwanao;
Amani, Zawadi, Furaha, Bahati, Faraja, Juhudi, Almasi, Majaliwa, Mzuri, Asifiwe, Zabibu, Tunu, Upendo, Salama
Juhudi?????
 
Back
Top Bottom