Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,756
Kuweka record clear,
Kama mnavyofahamu pale UDSM kanisa Katoliki na makanisa yaliyoko chini ya jumuia ya CCT wanatumia kanisa moja kwa maana ya jengo;
Miaka ya nyuma walikuwa wametenga fedha za kujenga uzio kuzunguka kanisa hilo.
Japo fedha zilikuwepo, ujenzi huo haukuwezekana 'mpaka wa leo' kwa kuwa walinyimwa kibali cha kufanya hivyo na chuo.
Tena walinyimwa kibali kwa sababu za kuudhi, eti uzio huo 'ungechafua mazingira ya chuo'.
Iwapo kanisa lingetumia mabavu kujenga uzio, uzio huo ungebomolewa 'bila huruma' na chuo.
Mwisho wa taarifa.