Nimefurahi sana leo. Hivi ni mimi ndo sijui kiingereza au vipi?

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,927
6,465
Naomba waungwana mnisaidie kudadavua hapa.

50780503_2154100607982184_5031859868676390912_o.jpg
 
Hata hiyo heading ya sgr ipo hovyohovyo sana, haivutii hata kununua gazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hiyo tu. Angalia hata hiyo habari ya Matokeo ya form four haina heading. Kwa watu makini wanashindwa kujua wanataka kamaanisha nini? Kwanza kakosea uandishi na pia habari haina heading. Au heading ni waziri?
Hata hiyo heading ya sgr ipo hovyohovyo sana, haivutii hata kununua gazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom