Mr dark light
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 298
- 253
Habarini wakuu
Inaelezwa kuwa Serikali imeongeza kodi ya kuingiza samaki nchini, samaki wengi ambao tunakula wanatoka china (nilikuwa sijui hili)
Chanzo kinasema Tanzania hatuna uwezo wa kuvua samaki wakakidhi mahitaji ya walaji, hivyo samaki wengi wanatolewa china na kuletwa nchini, hivyo baada serikali kuongeza kodi, samaki wamekuwa ghali sana, mpaka baadhi ya wafanya biashara wadogo wameacha hiyo biashara
Inadaiwa tuna meli moja tu ya uvuvi (sina hakika na hili) pia hatuna vifaa vya kuvulia samaki kwenye kina kirefu, nikaendelea kuambiwa kuwa samaki wengi kwa sasa wanashushwa Zanzibar maana kule sheria yao ya kodi ni rahisi kuliko huku bara
Nb: Mliokuwa huko juu kama ni kweli mwambieni kwa style hiyo anakosa kodi nyingi pia haghairishe kuleta ndege nyingine pesa anunulie meli ya uvuvi bahari ya Hindi, biashara hii ni ya uhakika zaidi kuliko ndege, demand ya samaki kwa wanachi ni kubwa kuliko kusafiri kwa anga
Nawakilisha
Sent using Jamii Forums mobile app