Chemsha bongo

Spirogyra

Senior Member
Mar 6, 2017
160
133
KUCHOMA MELI MOTO,
The ancient Greek warriors ni moja kati ya
Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote
katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si
kutokana na walivyo fundishwa au Silaha walizo
kuwa nazo, no ni kutokana na Commitment yao
ya Kushinda Vita waliyo kuwa nayo.
Wagiriki walivyo kuwa wakifika Pwani ya Maadui
wao Cha kwanza ambacho Kamanda wao
alikuwa akiwaamulisha wanajeshi wafanye ni
Kuchoma Meli zote zilizo wafikisha pale, Na
wanajeshi kwa Pamoja walikuwa wakichoma
Meli zote Moto,
MESSAGE HAPA ILIKUWA NI CLEAR KABISA,
1. There was no Turning Back
2. There was no retreat
3. No surrender
The only way out was Forward, Na ni Victory or
Death, na hakuna outcome nyingine zaidi ya
hizo Mbili za Kushinda Vita au Kuuwawa. Na hii
stail iliwahi kutumiwa na Wamexco katika vita
miaka ya 1500
-Wanajeshi wa Kigiriki walivyo kuwa wakiona
Meli zao zikiwaka Moto walikuwa wanaogopa
sana na wanajua kabisa hakuna Kurudi Nyuma,
hakuna kujisalimisha, ila kazi ni Moja tu
kushinda Vita
Katika Maisha tunahitaji kufanya kila
liwezekanalo kufanya maamuzi ambayo ni sahihi
kabisa, hatuwezi kuwa shihi muda wote lakini
ukifanya analysisi utagundua hakuna kisicho
wezekana. Ila tumekuwa tukikutana na vikwanzo
vingi sana vinavyo tufanya Safari yetu isifike
popote pale
1. Vikwazo kutoka kwa Familia yako
2. Marafiki
3. Ndugu jamaa na Marafiki
4. Wafanya kazi wenzako
5. Uoga wa hali ya Juu
6. Ukikumbuka kazi yako nzuri sana na
malupulupu unayo pata
7. Ukikumbuka Marafiki zako na jinsi mnavyo
badili viwanja kila wikend
8. Ukikumbuka mpenzi wako ambaye
makeupenda sana kwa sababu tu ya kazi uliyo
nayo
9. Mkopo wa kazini uliochukua
10. Kazini wewe ni Bosi
11. Unatembelea gari la ofisi
12. Unaishi kwenye nyumba ya kampuni
13. Familia yako inaheshima mtaa mzima kwa
sababu tu wewe ni bosi mahali fgulani
Hivi vitu kila mtu akivikumbuka kusonga mbele
huwa ni ndoto sana, Wakuu wa majeshi ya
wagiriki walijua haya mapema sana, walitambua
wanjeshi wanavyo enda vitani huku Nyuma
wamewaacha wapenzi wao wano wapenda sana,
wamewaacha marafiki, Ndugu na jamaa, Hivyo
Bila kuchoma meli moto hawa watu wanaweza
waamue tu kurudi nyuma na kurudi nyumbani
kwa sababau bado wana watu walio nyuma yao.
Tunashindwa kusonga Mbele kwa sababu
tunakuwa na optional Nyingi sana
1.Tuna mishahara tunategemea so hakuna
Presha hata nikishindwa
2. Hakuna mtu atakaye jua kama nimeshindwa
biashara kwa sababu maisha yangu yatakuwa
vile vile
3. Famili yangu haitakuwa kwenye risk kwa
sababu nina mshahara wa kutosha so haijalishi
4. Hakuna Down side
KWA NINI NICHAGUE KUCHOMA MELI MOTO?
1. Nitakuwa full committed
2. Your heart and mind itakuwa ni 100%
focused.
3. No destractions
4. Hakutakuwa na side project kama ajira na
kazalika,
5. Hakuna kuangalia Nyuma kwa sababu Ulisha
choma moto Meli na hakuna njia ya kukurusha
kule uliko kuwa
6. You can't retreat back katika kazi yako ya
zamani
7. You're out on the street and forced to hustle
8. No flight, only fight
9. Utafanikiwa au utashindwa hivyo jaribu
Katika Kisi hiki nimejifunza mengi sana Baada
ya Kuchoma Meli Yangu Moto na sina optional
nyingine zaidi ya kuendelea na Ujasirimali
wangu, Saving akaount yangu kila kukicha
inazidi kuwa ndogo, The clock is ticking,
But nothing will force me to move faster and
perform better than the raw instinct of survival.
So Unapo Ingia katika Ujasirimali ni Lazima
ufanye hivyo na ni sawa na kuachwa kisiwana
Pekee, Katika Biashara kuna Optional Mbili tu
Kushinda au Kufeli, Ila kwa sababu kisiwani uko
pekee yako ni lazima Upigane kufa na kupona ili
kushinda na si kushindwa, .

*Copy&Pasted by future boss*
 
Back
Top Bottom