Tundu Lissu On CNN & Aljazeera: A Good Idea turned into a Political Correct Nonsense( Siasa nzuri ya Kipuuzi)

De Facto List

JF-Expert Member
Dec 16, 2018
324
1,185
Nianze kwa kumnukuu mchumi maarufu duniani Miltorn Friedman katika kitabu chake cha Tyranny of the Status Qoe aliandika 'what can be asserted without concrete economical figures can also be dissmised without evidence'

Wiki mbili nyuma kumekuwa na 'mapambio' kadhaa na hasa katika makundi ya 'watsap' ya wapinzani na hata humu jamvini kuhusu kile kilichotunukwa jina la 'Ziara ya Tundu Lissu Ughaibuni'. Uchachu wa 'mapambio' ulikolezwa zaidi pale ambapo mwenyew Tundu Lissu kupitia ukurasa wake 'Instagram' aliweka picha akiwa Uingereza na baadhi ya wanafamilia wake.

Ndelemo, mapambio na sifa za utukufu zilisikika kuwa sasa ziara ya T.L imeanza. Baadhi yetu tukiwa na mshangao wa huyu anaeitwa 'Mzalendo' wa kweli hasa baada ya kupata 'nafuu' tulitegemea angalau angefika nyumbani kwani pamoja na mambo mengine wananchi wake waliompa 'vyeo' anavyojinasibu navyo kwa takribani mwaka na ushee hawana uwakilishi wowote zaidi ya 'vichambo' mitandaoni.

Kwakuwa sauti ya 'kurudi' ilizidiwa na vipaza vya kushangiria 'Ziara' pengine mzalendo wetu hakutusikia au labda kile 'kiitikio' cha pambio kuwa 'sasa kila kitu kinaemda kuwekwa wazi kilimfanya 'Mzalendo' huyu aendelee 'kusasambua' na kufata 'midundo' ya pambio hilo.

Siku zikaenda na taarifa ikafika kuwa mzalendo kapata mualiko katika kipindi maarufu cha Hard Talk. Hapa baadhi yetu tukiwa na shauku ya kufahamu kile kiitikio cha Pambio kuwa 'sasa kila kitu kinaenda kuwekwa wazi tukahisi tutakatwa kiu.

Kilichotokea katika mjadara huo uliovuta hisia za wengi sote tunafahamu, kama gazeti la Times Observer la tarehe 22 lilivonukuu yaani 'Tundu Lissu Knocked down'. Kwa tafsiri isiyo rasmi kuchakazwa/kutalishwa. Taratibu kelele na hata za wale walioshangilia Ziara hii zikaanza kusinyaa mfano wa 'kitunguu swaumu'

kama ilivyo kawaida ya Siasa za upinzani majibu ya T.L yalijaa ghuba, mihemuko, upotoshaji, maslah binafsi na chuki kwa mtu mmoja. Sina shaka na uelewa wa huyu mzalendo kuhusu lugha iliyotumika lakini ni lazima tukubali 'lies cant beat facts'.

Mzalendo anasema Raisi anafukuza wawekezaji..Mzungu anamjibu ilikuwa moja ya ahadi za Raisi kupambana na makampuni makubwa yaliyoliibia taifa kwa miaka mingi ili Nchi ipate stahiki yake.

Mzungu anasema Raisi kafukuza watumishi hewa na kinachoonekana vita ya kupambana na rushwa anaifanya vizuri..mzalendo anasema Raisi kajenga uwanja wa ndege Chato..

Kama haitoshi na tayari Bw. Sucker akiwa ameona 'udhaifu' wa ujengaji hoja wa mgeni wake..anamsaidia kwa kumwambia tuzungumzie 'mifumo' na sio kitu 'kimoja kimoja'(hasty generalization) Mzalendo anasema Raisi kununua ndege sio kazi yake. Total crap!!

Kama aibu hiyo haitoshi Mzalendo huyu wiki hii katujulisha kuwa amepata mwaliko katika vituo vya kimataifa vya CNN na Aljazeera, huku Mitandaoni jana tunaambiwa kaalikwa kuzungumza D.C tarehe 9 ..Swali la kimantiki na kimkakati ni Je, muendelezo wa ziara hizi bado ni Mpango Mzuri (Good Idea) kwa Upinzani au umegeuka Siasa Nzuri ya Kipuuzi ( Political Correct Nonesence)

Kwa wenye maono na wazoefu wa midahalo watakubali kuwa mtililiko wa majibu ya T.L ulikuwa umejaa 'paradoxial insticts' kwa maana kuwa hata 'wanaomsapot' wanajilazimisha kumuani lakini bado wanakinzana na 'Uhalisia' wa tuhuma zake dhidi ya serikali.

Ni ukweli usio na shaka muendelezo wa kupekua/kuswampa kwa mzalendo huyu ughaibuni kama 'Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni' ni kuudhalilisha Umma wa Upinzani kwa ujumla wao, 'a contempteous joke'.

Watu wanasema labda lugha, au hajapona vizuri lakini kwa sie tunaomfahamu vizuri T.L mijadara/ hoja zinazogusa au viashiria vya kiTakwimu, Uchumi na chochote kile ambacho kinachembecheme za Hesabu mzalendo huyu ni 'kichwa panzi' mwenye upako wa Sifuri.

Upande mwingine tunajiuliza au hata hii ziara ni sehemu ya ile Great plan, yaani getting attention at all cost..miaka ya Nyuma G.W. Bush katika makala yake My Confession alitufundisha Hakuna kinachotokea katika siasa kwa bahati mbaya..yote huwa imepangwa. Na sisi tunalazimika hata kuamini lile sinema la risasi ni Mpango mkakati wa Ndani ya Chadema( Inside Job).

Mwisho, 'Mchumia janga hulia na wa kwao', enyi wakuitwa Think Tank wa Upinzani mshaurini kaka yetu huyu kuhusu kuzurura huku kwani pamoja na mambo mengine anawavua nguo Upinzani na kuonekana ni magenge na sio Vyama kwa maana ya Taasisi yenye sera/mawazo mbadala unaoonyesha utayari wa kuchukua Nchi.
 
Punguani kichwani
 
Nilivoona whatsup za wapinzani tu apo nilipoachia kusoma. Nakushauri ukitoka upate wasomaji wengi kuwa zaid general kuliko kuanza kuonyesha itikadi uliyonayo mwanzoni. Nadhani utakuwa unaongelea point nzuri lakini ulivoanza umechemka. Unaweza ukawa unahitaji shule zaidi ya uandishi au some thing like that. Nasikitika sikuweza kuendelea kusoma coz what I know ninyi watu wenye itikadi iwe uko upanda wowote huwezi kuandika kitu chichote kinacho make sense huku utavutia kwako tu. So next time try to be neutral ili tukusikilize wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nianze kwa kumnukuu mchumi maarufu duniani Miltorn Friedman katika kitabu chake cha Tyranny of the Status Qoe aliandika 'what can be asserted without concrete economical figures can also be dissmised without evidence'

Wiki mbili nyuma kumekuwa na 'mapambio' kadhaa na hasa katika makundi ya 'watsap' ya wapinzani na hata humu jamvini kuhusu kile kilichotunukwa jina la 'Ziara ya Tundu Lissu Ughaibuni'. Uchachu wa 'mapambio' ulikolezwa zaidi pale ambapo mwenyew Tundu Lissu kupitia ukurasa wake 'Instagram' aliweka picha akiwa Uingereza na baadhi ya wanafamilia wake.

Ndelemo, mapambio na sifa za utukufu zilisikika kuwa sasa ziara ya T.L imeanza. Baadhi yetu tukiwa na mshangao wa huyu anaeitwa 'Mzalendo' wa kweli hasa baada ya kupata 'nafuu' tulitegemea angalau angefika nyumbani kwani pamoja na mambo mengine wananchi wake waliompa 'vyeo' anavyojinasibu navyo kwa takribani mwaka na ushee hawana uwakilishi wowote zaidi ya 'vichambo' mitandaoni.

Kwakuwa sauti ya 'kurudi' ilizidiwa na vipaza vya kushangiria 'Ziara' pengine mzalendo wetu hakutusikia au labda kile 'kiitikio' cha pambio kuwa 'sasa kila kitu kinaemda kuwekwa wazi kilimfanya 'Mzalendo' huyu aendelee 'kusasambua' na kufata 'midundo' ya pambio hilo.

Siku zikaenda na taarifa ikafika kuwa mzalendo kapata mualiko katika kipindi maarufu cha Hard Talk. Hapa baadhi yetu tukiwa na shauku ya kufahamu kile kiitikio cha Pambio kuwa 'sasa kila kitu kinaenda kuwekwa wazi tukahisi tutakatwa kiu.

Kilichotokea katika mjadara huo uliovuta hisia za wengi sote tunafahamu, kama gazeti la Times Observer la tarehe 22 lilivonukuu yaani 'Tundu Lissu Knocked down'. Kwa tafsiri isiyo rasmi kuchakazwa/kutalishwa. Taratibu kelele na hata za wale walioshangilia Ziara hii zikaanza kusinyaa mfano wa 'kitunguu swaumu'

kama ilivyo kawaida ya Siasa za upinzani majibu ya T.L yalijaa ghuba, mihemuko, upotoshaji, maslah binafsi na chuki kwa mtu mmoja. Sina shaka na uelewa wa huyu mzalendo kuhusu lugha iliyotumika lakini ni lazima tukubali 'lies cant beat facts'.

Mzalendo anasema Raisi anafukuza wawekezaji..Mzungu anamjibu ilikuwa moja ya ahadi za Raisi kupambana na makampuni makubwa yaliyoliibia taifa kwa miaka mingi ili Nchi ipate stahiki yake.

Mzungu anasema Raisi kafukuza watumishi hewa na kinachoonekana vita ya kupambana na rushwa anaifanya vizuri..mzalendo anasema Raisi kajenga uwanja wa ndege Chato..

Kama haitoshi na tayari Bw. Sucker akiwa ameona 'udhaifu' wa ujengaji hoja wa mgeni wake..anamsaidia kwa kumwambia tuzungumzie 'mifumo' na sio kitu 'kimoja kimoja'(hasty generalization) Mzalendo anasema Raisi kununua ndege sio kazi yake. Total crap!!

Kama aibu hiyo haitoshi Mzalendo huyu wiki hii katujulisha kuwa amepata mwaliko katika vituo vya kimataifa vya CNN na Aljazeera, huku Mitandaoni jana tunaambiwa kaalikwa kuzungumza D.C tarehe 9 ..Swali la kimantiki na kimkakati ni Je, muendelezo wa ziara hizi bado ni Mpango Mzuri (Good Idea) kwa Upinzani au umegeuka Siasa Nzuri ya Kipuuzi ( Political Correct Nonesence)

Kwa wenye maono na wazoefu wa midahalo watakubali kuwa mtililiko wa majibu ya T.L ulikuwa umejaa 'paradoxial insticts' kwa maana kuwa hata 'wanaomsapot' wanajilazimisha kumuani lakini bado wanakinzana na 'Uhalisia' wa tuhuma zake dhidi ya serikali.

Ni ukweli usio na shaka muendelezo wa kupekua/kuswampa kwa mzalendo huyu ughaibuni kama 'Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni' ni kuudhalilisha Umma wa Upinzani kwa ujumla wao, 'a contempteous joke'.

Watu wanasema labda lugha, au hajapona vizuri lakini kwa sie tunaomfahamu vizuri T.L mijadara/ hoja zinazogusa au viashiria vya kiTakwimu, Uchumi na chochote kile ambacho kinachembecheme za Hesabu mzalendo huyu ni 'kichwa panzi' mwenye upako wa Sifuri.

Upande mwingine tunajiuliza au hata hii ziara ni sehemu ya ile Great plan, yaani getting attention at all cost..miaka ya Nyuma G.W. Bush katika makala yake My Confession alitufundisha Hakuna kinachotokea katika siasa kwa bahati mbaya..yote huwa imepangwa. Na sisi tunalazimika hata kuamini lile sinema la risasi ni Mpango mkakati wa Ndani ya Chadema( Inside Job).

Mwisho, 'Mchumia janga hulia na wa kwao', enyi wakuitwa Think Tank wa Upinzani mshaurini kaka yetu huyu kuhusu kuzurura huku kwani pamoja na mambo mengine anawavua nguo Upinzani na kuonekana ni magenge na sio Vyama kwa maana ya Taasisi yenye sera/mawazo mbadala unaoonyesha utayari wa kuchukua Nchi.
Big up brother, well constructed, ngoja aendelee kujiinesha udhaifu wake na baada ya hizo ziara atakuwa amejiondolea sifa, hadhi na wafuasi. It is the begining of his end. Shaban Robert katika kusadikika anasema 'Mchwa ukitaka kuteketea, hoteshwa mabawa ili kuwa kumbikumbi'. Hao wanaomwalika, wanamgeuza kumbikumbi ili wamkaange
 
Umetumwa

Mkuu "kitunguu swaumu", pamoja na kuwa tunakinzana maono umejitahidi kuandika kwa mpangilio.La kujifunza;Vumilia kumsikiliza mkinzani wako.Siyo kila jambo uone unasingiziwa.Anyways, ukiwa haujavimbiwa vitunguu swaumu una madini muruaaa!
 
Nimeachia hapo kwenye makundi ya whatsup ya wapinzani, nikajua tu wewe ni zao la jiwe so hata sijajisumbua kuendelea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom