Wakati sisi tunalumbana kuhusu kuwepo au kutokuwepo sehemu za ibada vyuoni wenzetu walishalifikiria na kulizingatia tangia kuanzishwa kwa vyuo. Naamini mifano ipo mingi. Nimeambatanisha mfano wa chuo kikuu cha Reading, UK. Naamini bado tuna mengi ya kujifunza.