Siku za hivi karibuni nimepatwa na mshangao sana kwa jinsi Azam media ilivyobadilika, Azam sasa imekuwa Rafu, wanao uwezo wa kurusha matangazo ya live ya Mhe Raisi, lakini taarifa ya habari...
Kuna wakati tulikuwa Beach mimi na Marafiki zangu. Sasa tukiwa huko tukakutana na Madada wa Kiholanzi nao walikuwa wapo holiday na kuja kufurahua maisha huku.
Tukiwa kule tukapeana kampani na...
Naangalia wazungu na jamaa wa brazili,
Wengine badala ya kufuka paka, wanafuga TIGER,
Kuna mama mmoja anafuga Black Mamba huko Africa Kusini.
Chatu wanafugwa kama viburudisho majumbani na hawaumi...
Mheshimiwa mkuu wa Mkoa ,tunaomba uusaidie kuondoa kero ya baa inayopiga mziki usiku kucha iliyopo maeneo ya kimara stop Over.Baa husika ipo barabara ya zamani ya maarufu kama Morogoro Road.
Sisi...
March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa kwa kupigwa risasi kichwani, Hii inatokana na jeraha...
Nilizoea kuwaona hawa Madada poa Dar es salaam,Chalinze, Kahumba - Morogor,na kwingineko.Ila sasa cha ajabu jana katika pita pita zangu nikaona Madada poa wamejipanga pale Mafiat,Nilistuka kwa...
Juhudi za kuuzima moto huo zinaendelea.
Kwa Wazazi fikeni Kanisa Katoliki Michungwani ndiko Watoto wote wamehifadhiwa hapo..
Nitawajuza zaidi.....
Watoto wote wamenusurika na hakuna vifo...
Definition Of Addiction
A. TOM HORVATH, PH.D., ABPP, KAUSHIK MISRA, PH.D., AMY K. EPNER, PH.D., AND GALEN MORGAN COOPER, PH.D.
The term "addiction" can mean many things to many people. For our...
Ukisafiri kwa treni hii kutoka Mbeya kuja Dar as Salaam unalipa nauli zaidi ya shilingi arobaini lakini unapewa tiketi inayoonyesha kuwa umelipa shilingi elfu ishirini na Saba. Ukiuliza kwanini...
Jamani I'm sure, Mjumbe hauawi.
Dereva wa Tundu Lissu, Simon Bakari anadaiwa kufichwa Mjini Moshi kwa kaka yake M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aitwaye Mfoi Mbowe ambaye ni Diwani katika Kata...
Amani iwe nanyi sasa na hata milele
Kwa mawazo yangu hakuna haja ya kuwekeza nguvu nyingi kuendelea kujadili suala LA ushoga, mbona tuna mengi ya msingi? Kwann tusiwekeze nguvu huko?
Kabla...
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu.
Hadi sasa sijajua ni Ng'e, Nyoka, Tandu, au viumbe wengine korofi wasiojulikana.
Nimepiga patrol eneo lote tukio liliponipata sijaona hata kiumbe yoyote...
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe ameuagiza uongozi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) kurudisha mali zote za Shirika hilo ikiwemo viwanja, majengo ndani ya miezi...
Watu wa TBC mtuambie mfalme gulicheka ndio nani ? Maana story haiendani na uhalisia.
Mhariri wa shabani kissu hakufanya kazi ya uhalili vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nairobi. Juni 21 ilikuwa ni siku ya kawaida kwa Mama Nancy mkazi wa Narok nchini Kenya, lakini ilifichua siri nzito ya mtoto aliyefichwa kwa miaka kumi katika banda la mbuzi.
Akiwa katika...
Mimi huwa najiuliza wa tz huwa tunajifunza wapi Mana miaka ya nyuma simu hazikuepo ila zilipotokea mafundi wake wakajitokeza kwa kasi
Pikipiki nazo zilipotokea mafundi baskeli wakawa mafundi...
Wasukuma. Wamasai. Barbaig. Nyaturu n.k
Hawa jamaa ni wachafu kupindukia. Wananuka infact.
Washamba waliopitiliza.
Hawajali kama starehe zao ni kero kwa wengine. Yupo radhi kufungulia redio...
JENGO la tatu la abiria na eneo jipya la kutua, kushushia abiria na kuegesha ndege la Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), liko mbioni kuanza kutumika huku likitajwa kupaisha...
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano...
Watoto 10 wenye umri kati ya miaka miwili hadi sita wamechinjwa na kukatwa koromeo, sehemu za siri, masikio na ulimi wilayani Njombe mwezi huu.
Kutokana na matukio hayo yanayodaiwa kuhusishwa na...