LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,145
- 11,186
Katika kitabu chwa mwanzo Sura ya 4 katika mstari wa 15-16 Biblia inasema kuwa baada ya Cain mtoto wa kwanza wa Adam kumuuwa nduguye Habili ambaye ni mtoto wa pili wa Adam Mwenyezimungu alimfukuza Cain katika Ardhi ile hivyo Cain akahamia katika Nchi na Enodi iliyo mbele ya Edeni
Na huko katika Nchi ya Nodi Cain alikuta watu wanaishi hivyo akampata mke na kuzaa nae
Je hawa watu waliokuwa wanaishi katika hii nchi ya Nodi walitokea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huko katika Nchi ya Nodi Cain alikuta watu wanaishi hivyo akampata mke na kuzaa nae
Je hawa watu waliokuwa wanaishi katika hii nchi ya Nodi walitokea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app