Kuna yule rafiki yako uliyesoma naye darasa moja, tena ulikuwa unampita darasani. Kila siku alikuwa lazima achapwe na mwalimu kwa kosa fulani. Sasa, kila mara unamwona huyo huyo anatupia picha...
Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), ambaye ni mshauri wa msaidizi wa mgambo wilayani hapa, Ramadhani Hamisi (46) amefikishwa Mahakama ya wilaya kujibu mashtaka mawili ya kubaka na kumpa mimba...
Kwanza kabisa nianze kwa kupongeza mfumo wa maisha na utaratibu wa wenzetu hususan watu wa Ulaya, Marekani, China na India kuweza kuanzisha, kusimamia na kuendeleza biashara za ndani na nje ya...
NAJIULIZAGA MASWALI SANA KUHUSU HII BIMA YA AJALI TUNAYOKATAKA KWENYE VYOMBO VYETU VYA USAFIRI, MTU AMEKATA BIMA AJALI IKITOKEA MNATAKA MALIPO HADI MFIKISHANE MAHAKAMA, KWANINI TRAFIK ASIJE TU...
Baada ya kusikiliza kipindi cha "haba na haba" cha BBC asubuhi ya Jumamosi na Jumapili February 2 na 3, 2019 nimeshindwa kuelewa lengo hasa la kipindi hicho!
Kwasababu wahusika kwa makusudi...
Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi, ametangaza neema kwa wanafunzi wanne wenye ulemavu wa ngozi kwa kuwaahidi kuwapa ajira kwenye kampuni yake pindi watakapomaliza masomo yao.
Na, Mohamed Hamad Manyara
Timu ya wataalamu toka Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikongozwa na Bi.Christine Bakuname, Daktari wa Mifugo Mkuu, Idara ya Huduma za Mifugo, Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
Kalamu ya mwalimu imekosa uvumilivu wa kunyamaza kutokana na mauaji ya watoto yanayofanywa na na binadamu
walikosa utu,huruma na hofu ya Mungu kwa watoto mkoani Njombe,wauaji hawa wamejenga hofu...
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ameiagiza Idara ya Ustawi wa Jamii kuhakisha inandaa haraka sana Sera ya Wazee kwa kuwa sera iliyopo ni ya...
Tunapokuwa kwenye ibada za kuabudu na kusifu hasa kwa makanisa kama kkt, Moravian, Anglicana utakuta asilimia kubwa ya wanaume tunakuwa na aibu kucheza wakati wamama wenyewe wanajiachia tu...
Habari ma great thinker
Kiukweli siku za hivi karibuni nimepata kushuhudia jambo ambalo nilikuwa nalitamani kwa mda mrefu sana liwepo hapa nchini kwetu.
Jambo lenyewe ni namna traffic wanavyojali...
Huyu bwana na time yake walituaminishay kuwa Hakuna kuahirisha mechi Zach ligi kuu. Na Kweli klabu ya Yanga walilazimishwa kucheza mechi zao za CAF huku wakipangiwa ratiba tight ya ligi kuu lakini...
Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya...
TAADHARI.
Kitabu cha wageni /Mapokezi cha Ofisi ya TRA Temeke kimeibiwa. Wezi hao wanawapigia simu wateja kwa kuwatapeli kuwa nyaraka zao zipo tayari ikiwemo leseni mbali mbali kuwa nyaraka zao...
Tukio hilo la kusikitisha limetokea kwenye kijiji cha Lupembe Mkoani humo
Matukio ya mauaji ya Watoto yameibuka Mkoani humo kwa siku za hivi Karibuni ambapo Serikali inaendelea na juhudi za...
Nimefuatilia kikao ulicho andaa sijaona kama kweli ulikuwa na nia, dhamira na lengo la kutatua changamoto za wasanii zaidi,nilichokiona ni ww kujijenga kisiasa.
Km umeangalia vizuri meza kuu...
Habarini wakubwa wenzangu
Nimejeribu kufuatilia kuhusiana na makabila mengi hapa nchini (Tanzania) inasemekana kuwa walikuja kutoka sehemu nyingine za Afrika au Dunia. Hapo hapo tunaambiwa...