Mengi aahidi ajira kwa wenye ulemavu

Mengi aahidi ajira kwa wenye ulemavu

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
Mwenyekiti mtendaji wa IPP Dk. Reginald Mengi, ametangaza neema kwa wanafunzi wanne wenye ulemavu wa ngozi kwa kuwaahidi kuwapa ajira kwenye kampuni yake pindi watakapomaliza masomo yao.
 
Back
Top Bottom