Pongezi kwa askari wa usalama barabarani

Pongezi kwa askari wa usalama barabarani

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
2,112
Reaction score
2,822
Habari ma great thinker
Kiukweli siku za hivi karibuni nimepata kushuhudia jambo ambalo nilikuwa nalitamani kwa mda mrefu sana liwepo hapa nchini kwetu.

Jambo lenyewe ni namna traffic wanavyojali wasafiri wa vyombo vya moto hasa usafiri wa umma mfano mabasi ya mkoani,na ya masafa mafupi.Mara nyingi wanaingia kwenye gari na kutoa salaam kisha wanauliza kama kuna tatizo lolote kwenye safari yenu.

Kwa kweli ni utaratibu mzuri sana na ndivyo jeshi zima la polisi linatakiwa liwe na mahusiano mazuri na wananchi.

Nampongeza aliyeanzisha jambo hili.
Ni hayo tu GTs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa pongezi mkuu
tapatalk_1547657221078.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zote ni geresha tu, subiri uje awamu ingine.
Na endapo unamiliki usafiri, nilidhani ungelieleza ukubwa wa KERO huko barabarani.
Habari ma great thinker
Kiukweli siku za hivi karibuni nimepata kushuhudia jambo ambalo nilikuwa nalitamani kwa mda mrefu sana liwepo hapa nchini kwetu.
Jambo lenyewe ni namna traffic wanavyojali wasafiri wa vyombo vya moto hasa usafiri wa umma mfano mabasi ya mkoani,na ya masafa mafupi.Mara nyingi wanaingia kwenye gari na kutoa salaam kisha wanauliza kama kuna tatizo lolote kwenye safari yenu.
Kwa kweli ni utaratibu mzuri sana na ndivyo jeshi zima la polisi linatakiwa liwe na mahusiano mazuri na wananchi.Nampongeza aliyeanzisha jambo hili.
Ni hayo tu GTs.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu upande wa fine za ajabu ajabu ni kero hilo wanalia madereva.nili egemea upande tu wa kujali wasafiri nikaona si jambo baya ku appreciate kipengele hicho.
Hizo zote ni geresha tu, subiri uje awamu ingine.
Na endapo unamiliki usafiri, nilidhani ungelieleza ukubwa wa KERO huko barabarani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom