TRA Watoa Ufafanuzi Kodi ya Mabango Kwenye Magari

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
1549180234132.png
 
Lakini kama sheria ipo tangu 2017 imekuaje hii 2019 watu ndiyo washangae kutozwa kodi na TRA ndiyo imeona wakati muafaka wa kuelimisha?

Kwanini tupo slow?
 
Alieleta mada JF ndio kaijua hii kodi 2019. Mimi walivyoanza tu TRA kudai kodi za mabango nilibandua ofisini na kwenye gari nilibakisha kaalama kadogo ambako hakalipiwi. Wenye hizi biashara wanajua siku nyingi sana.
 
Kama hivyo hapo sawa.
 
Back
Top Bottom