Mwaka huo Jiwe ana miaka kama 6 au saba hivi tangu aingizwe Tanzania kinyemelaHapa ni miaka 10 baada ya uhuru, kisia ni eneo gani hilo. View attachment 1011771
Huyu atakuwa Mzee Mwanakijiji enzi za ujana wakeHapa ni miaka 10 baada ya uhuru, kisia ni eneo gani hilo. View attachment 1011771
Huyu atakuwa Mzee Mwanakijiji enzi za ujana wakeView attachment 1011834
Namuona beberu anakata mitaa kwa mikogo huku kabeba sanduku.
Uyo wa mgongoni anaweza akawa yu hai
Alikufa majuzi hapo kwa pesha ya kikokoto kipyaH
Uyo wa mgongoni anaweza akawa yu hai
Ila wee jamaaaUmekosea kidogo tu; miye niko kwenye kona mbali kulia nikizungumza na ambaye amekuwa Bibi Mwanakijiji... nilikuwa namuimbisha hapo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huo Jiwe ana miaka kama 6 au saba hivi tangu aingizwe Tanzania kinyemela