Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jiko la mkaa lililokuwa ndani limesababnisha vifo vya watoto wawili baada ya kukosa hewa wakati wakiwa wamelala usiku. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Februari 3, 2019, katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nchini Nigeria ,ni nadra sana kwa huduma za afya kutolewa bila malipo hivyo kama mtu huwezi kulipia huduma hiyo basi hataruhusiwa kuondoka katika kituo hicho cha afya baada ya kuhudumiwa. Swali...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni mara chache sana tukiwa kwenye mifumo ya kidini kuulizana hii religious business inamnufaisha nani hasa. Taasisi nyingi za kidini zinamiliki utajiri mkubwa sana ila wanaonufaika nao ni...
12 Reactions
55 Replies
4K Views
Wiki hii maeneo kadhaa ya mji wa Kigamboni watu wamekumbwa na ujambazi. Jambo la kushangaza ni kwa shirika la Tanesco kuwa kikwazo kikubwa kwa wakazi maana kwa majuma kadhaa usiku wa manane umeme...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii imetokea katika mkoa wa Geita ambapo mwanafunzi mmoja jinsia(ME) anaesoma kidato cha kwanza, amefanyiwa ukatili wa kubakwa kinyume na maumbile na mwanafunzi mwenzie anaesoma kidato cha nne...
5 Reactions
96 Replies
13K Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana Km kupigwa tunapigwa, km kichwa cha habari kinavyosomeka Kwa nia njema tu wale waliotwambia kitambulisho cha Taifa ni mradi uliokuwa na ufisadi ndani yake Kwa...
4 Reactions
41 Replies
8K Views
Habari wana forumn, mimi ni kati ya watu wengi waishio kigamboni wka sasa. Kinachonishangaza ni hali ya umeme kutokuwepo hasa wakati wa wikiendi. Utakuta jumamosi asubuhi umeme unakatika na hakuna...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakazi wa Bukoba, Kagera wameshikwa na taharuki baada ya kutokea tufani(Omugasha) ziwa Victoria karibu na kisiwa cha Musira.
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Manufaa ya ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi (via Maswa Game reserve). 1) Itaongeza utalii kanda ya ziwa na...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Dk Medard Kalemani ametishia kuwatumbua vigogo wa shirika hilo akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) ikiwa watashindwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wazee wa kale najua mpo.baada ya kuubwa dunia na kugawanywa kwa mabara.bara zikawa nchi.JE?NANI ALIOTOA MAJINA YA NCHI? NA NCHI YETU KABLA YA TANGAJIKA HAKUKUA NA JINA LA AWALI? wazee we history...
2 Reactions
45 Replies
14K Views
Poleni na majukumu ya kutwa wakuu, Nilikua naomba kuuliza, Hivi kwa mtu hasa mwanaume aliyeajiriwa iwe Serikalini au kwenye private entity anatakiwa kuwa na akiba ya kiasi gani cha fedha bank?
7 Reactions
75 Replies
15K Views
Muigizaji wa filamu ya Bollywood, nchini India Esha Gupta ameibua gumzo kali baada ya kuweka ujumbe unaoshiria mchezaji nyota wa Nigeria na Arsenal, Alex Iwobi ni 'sokwe' ambaye uumbaji wake...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Huyu ni mshiriki wa ushindani la miss Rwanda 2019. Alianza kutikisa vichwa vya habari baada ya kuripotiwa kuwa binti pekee aliyejitokeza katika shindano hilo akiwa a imetokea kijijini na...
2 Reactions
131 Replies
18K Views
Jamani habarini hapa jf, Kuna kitu ambacho nimekiokota sjawi kukiona machoni mwangu, Hiyo hapo picha nisaidie Nikifaa cha nini hicho maana baada ya kuokota nimejalibu kuulizia kila mtu hakijui.
4 Reactions
157 Replies
22K Views
Leo nilikuwa naangalia bank statement yangu, nikakuta hawa CRDB wamekwangua shilingi 7999 kwenye account yangu eti card fee, hii card fee ya nini wakati mimi nakatwa hela kila ninapofanya muamala...
9 Reactions
48 Replies
7K Views
Kuna siku moja nimesafiri, nilipanda bus linalotoka wilayani kwenda makao makuu ya mkoa. Nilikaa kiti cha mbele. Tulipokua tukiendelea na safari, tukiwa tumekaribia eneo la mji bus nililopanda...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Waafrika wengi sana uwezu wetu wa kufikiri ni mdogo ukilinganisha na mataifa ya mabara mengine ulimwenguni na kama wapo wenye uwezo kufikiri wa juu basi ni wachache sana na hiyo imechangia sana...
13 Reactions
112 Replies
9K Views
Salam ndugu zangu, Kuna jambo linanitatiza nikaona hapa naweza pata ufafanuzi. BASATA, hasa shughuli zake ni zipi? Maana nimezoea kuona wakiwafungia tu kazi za wasanii tu. Anaejua kazi nyingine...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…