BASATA shughuli zake ni zipi?

king muller

Senior Member
Aug 29, 2015
104
56
Salam ndugu zangu,

Kuna jambo linanitatiza nikaona hapa naweza pata ufafanuzi. BASATA, hasa shughuli zake ni zipi? Maana nimezoea kuona wakiwafungia tu kazi za wasanii tu.

Anaejua kazi nyingine msaada tafadhali.
 
Msaada wao ni nini kwa wasanii wa Tanzania ??
1.Bongo fleva
2.Muziki wa Dansi (Bendi zinakufa)
3.Taarabu haieleweki (ujumbe shombe tupu)
4.Singeli chali
5.Ngoma za asili kina wanne star kimya



Hawa jamaa haswa kazi zao nini kweli ????
 
Back
Top Bottom