Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema Serikali inaendelea kuwatafuta watu waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’. Mfanyabiashara huyo alitekwa Oktoba 11 mwaka huu katika...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Pale Mambosasa alipotoa tamko kuhusu utekwaji wa MO lililotofautiana na dereva wa Uba, mara moja nilijua kwamba hapa kuna mchezo wa kuigiza unafanyika. Lakini pale Mambosasa aliposema wazungu...
16 Reactions
42 Replies
10K Views
Kumteka mtu kama Mo Dewji siyo kitu cha kitoto. Walijiandaa vyema…waliamua hasa…walikuwa na taarifa za kutosha kuhusu ratiba ya Mo Dewji na ni watu ambao wako vizuri sana kiuchumi. Mo ni mtu...
20 Reactions
252 Replies
41K Views
Kutokana na mvua kubwa iliyonyesha leo jijini Dar kuanzia alfajiri mpaka asubuhi Wakala wa Mabasi yaendayo haraka(DART) imewatahadharisha watumiaji wa huduma hiyo wa maeneo ya Kimara na Mbezi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) unatarajia kuzindua mfumo wa usajili wa kampuni na biashara kwa njia ya mtandao. Baada ya mchakato wa muda mrefu, mfumo huo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu wawili wa familia moja, Zulfa Chami na Zuhura Chami wamepoteza maisha, baada ya kupigwa shoti ya umeme na kamba ya kuanikia nguo katika eneo la Pasua, Manispaa ya Moshi. Zulfa (24) na Zuhura...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Nilitaka kwenda Misri kikazi na nimejitahidi sana kutafuta hela za kigeni bila ya mafanikio. Hii inamaanisha kwamba hata wageni wanaokuja kwa kipindi kifupi hawataweza kuduza dollar zao kwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Hello habari, Nina Changamoto inanisumbua. Nina Mtu wangu/Girlfriend yupo Norway Na tuna mpango Thabiti wa kuishi pamoja., Ila kwa bahati mbaya yeye bado hajatimiza baadhi ya masharti ya mimi...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
WATU saba wamehukumiwa kwenda jela miaka mitatu wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza na mahakama ya kutembea (mobile court) kwa kosa la kufanya uvuvi haramu, huku wengine 14 wakifikishwa katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana JF Dunia inakwenda kasi sana, nieona mageuzi makubwa ya kisiasa kwenye mama Tanzania. Wanasiasa wana change allegiance kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kwa muktadha huo basi...
1 Reactions
5 Replies
833 Views
mwaka Jana ajali hii ilisikitisha na kuumiza wengi sana hapa nchini na nje ya nchi takribani watu 200 walipoteza maisha kwenye ajali ya kivuko. Wananchi wengi walijitokeza kuweza kuwaokoa wenzao...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Baadhi ya wafanyabiashara wa Madini ya Tanzanite Mkoa wa Arusha,wameitikia wito wa serikali kwa kukubali kuwekeza katika sekta hiyo kwa kuanzisha viwanda vya uchenjuaji na usanifu wa Madini lengo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nguo na viatu vya mitumba vinasababisha utoroshaji wa ajira takriban laki 2 kila mwaka, hii ni bila kusahau ununuzi wa sare na buti za jeshi toka China; hii pia inachangia kutorosha ajira. Haya ni...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeupenda sana huu ' Ubunifu ' mpya ambao kwa miaka kadhaa sasa naona ni kama vile si tu umeota mizizi bali pia umeshakubalika na wengi wa pale Mtu ' Maarufu ' awe katika Medani za Kisiasa au...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Je ujenge Daraja la Salenda ( linalohudumia / litakalohudumia Watu wachache ) linalopita Baharini ( ambako ungeweza tu hata Kununua Boti Kadhaa au Pantoni Kubwa kuhudumia Wakazi wa huko ambao wana...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa sisi tunaoishi ziwa Tanganyika tumekuwa kama wakimbizi. Kila mvuvi kwa awamu hii anatakiwa kuwa leseni na hata kama Ana Leseni anapoenda kuvua anatakiwa asirudi na samaki mdogo hata...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Waungwana nilipataga ka opportunity kutembelea nchi ya uholanzi na katika zunguka zunguka yangu wenyeji wangu wa kitanzania wakanambia twende tukanunue samaki"term inayotumika kwenda kuangalia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
SERIKALI imesema wanaoshinda na spika kwenye masikio (Hearphone) kwa muda mrefu wapo hatarini kupata matatizo ya usikivu na kuwataka kuacha mara moja ili wasije kupata huo ugonjwa. Hayo yalisemwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Sakama Wakuu, Leo nilikuwa kituo cha Polisi Mpanda mjini kufatilia dhamana ya ndugu yangu niliyo yakuta ni mambo ya ajabu sana. Kangi Lugola naomba ufanye upelelezi na utuondolee kero hii. Huku...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Mke wangu kanitukana mbwa asubuhi hii bila kosa lolote.kisa kutoa ushauri baada kushindwa kuelewana na ndugu kwa madogo ya kutoa elimu. Baada mimi kuingilia kwa kutoa ushauri kama baba wa nyumba...
16 Reactions
357 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…