kiraza
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 403
- 582
Hello habari, Nina Changamoto inanisumbua. Nina Mtu wangu/Girlfriend yupo Norway Na tuna mpango Thabiti wa kuishi pamoja., Ila kwa bahati mbaya yeye bado hajatimiza baadhi ya masharti ya mimi kufika huko, Nina uhusiano nae kwa miaka zaidi ya 6 Ila kila siku changamoto kubwa imekuwa ni yeye kutokamilisha masharti ya kumtumia invitation mtu, Naomba kwa yeyote anayedhani ataweza kunisaidia mimi kufika Norway, just for 3 Month Anisaidie. Gharama Ya tiketi itakuwa juu yangu, Nikifika nitafikia moja kwa moja kwa mtu wangu, Pia Kama Shukrani nitatoa kiasi cha Mil 3 za Bongo. Kwa anaedhani anaweza kunifanikishia hilo naomba tuwasiliane PM. Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app