Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo. Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone...
10 Reactions
76 Replies
893 Views
Kuna ugonjwa mmoja unaosambaa kwa kasi kuliko hata umasikini. Nao ni huu: Kutaka kutajirika haraka. Vijana wengi leo hawataki kujenga. Wanataka kufika. Hawataki safari. Wanataka mwisho wa...
1 Reactions
0 Replies
200 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesho ni mwezi ya 6 tarehe 1 nusu mwaka umekata sasa tunaenda kuanza nusu nyingine Basi nakuombea biashara yako isifungwe, uchumi wako...
9 Reactions
10 Replies
161 Views
Wakuu salaam! Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu. Naota shule imefungua tumekutana tena...
8 Reactions
57 Replies
883 Views
Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande...
8 Reactions
46 Replies
690 Views
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi...
3 Reactions
6 Replies
256 Views
Unaamua kumtembelea ndugu, kumbe hali yake ya kifedha ni ngumu na bajeti ya chakula inawatosha wao tu. Wanaanza kufanya vitimbwili uondoke Wapo ambao huanza kuwatukana watoto wao kwa matusi...
1 Reactions
15 Replies
313 Views
Ufunuo wa Yohana 3:7 yeye mwenye kufungua wala hapana afungaye, naye afunga wala hapana afunguaye. Ukiona mambo haya kwenye maisha yako fahamu kuwa Mungu anayalinda maisha yako. 1.Watu...
10 Reactions
12 Replies
687 Views
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya...
11 Reactions
102 Replies
8K Views
Salama? Naomba wataalamu mnijuze hivi kweli Tanzania tuna economic plan? Roboti Yunesi aliyetengenezwa na kupelekwa bungeni siku ya kuwasilisha bajeti ya sayansi na teknolojia kipindi cha mh...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Sasa hardcopy ya kitabu hiki inapatikana. Wasiliana na Lycaon pictus kuipata. Muandishi: George S. Clason's, 1926. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. ©Pictuss2021. Haki...
50 Reactions
282 Replies
68K Views
‎ ‎Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndugu Gerson Msigwa, ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi madhubuti wa ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda, akieleza kuwa mradi huo ni miongoni mwa miradi mikubwa ya...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Za jioni wana jukwaa Mimi hapa ni memba wa muda mrefu toka mwaka 2012 namaliza form six. Sasa iko hivi mwaka jana wakati wa Desemba tunamaliza mwaka nilikuwa sehemu kwenye grocery flani...
16 Reactions
88 Replies
2K Views
Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo! JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT? Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana...
4 Reactions
6 Replies
237 Views
MAMBO 6 NINGEJIFUNZA KABLA YA KUFIKA MIAKA 30 NAMBA 1 Mwanamke anayekupenda kwa dhati, huwa tayari kubadilika kwa ajili yako. Atarekebisha tabia yake, sauti yake, mienendo yake na kila kitu...
24 Reactions
23 Replies
639 Views
Achana na stori za vijiweni .Nenda mkasome history ya huyu mama.Yani kama ni copy and paste . tabia yake na mwanaye na magenge,utawala wake na waziri wake na kila kitu.
5 Reactions
4 Replies
133 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…