Kuna Utaratibu wa kuvisha Medali za thamani kama za dhahabu, fedha na nyinginezo. Ni jambo zuri linamhamasisha mshindani aweze kufanya vyema zaidi. Nimezoea kuna Wakimbiaji wakipata medali hizo...
Wananchi wa kijiji cha Njomlole kata ya uwemba mkoani Njombe wanasikitishwa na takwimu za maambukizi ya virusi vya ukimwi kuendelea kuwa kubwa huku mkoa huo ukiongoza kitaifa na kutaja kuwa kupima...
Habari zenu wanajamvi, Bila shaka mnaendelea na mapambano ya kulijenga taifa.
Wiki ijayo nitaleta uzi humu kuelezea fursa ziliko nje hasa hapa Geneva nilipo ambapo kwa Tanzania mazingira siyo...
Wakazi mbalimbali wa Jiji la Arusha,wamejikuta kwenye hali mbaya ya kiafya na wengine kulazwa katika hospital ya Mkoa M.Meru kutokana na kunywa maji yanayodaiwa kuchanganyikana na maji taka wakati...
Nategemea kuinstall solar System kama nishati ya umeme kwenye nyumba yangu
Mwenye ujuzi wa solar aniambie nini nizingatie nnaponunua solar? Yenye uwezo wa kusukuma friji,Tv,feni pamoja na taa za...
Habarini wanaJF
Naandika uzi huu nikiwa na hasira na masikitiko makubwa Sana dhidi ya TCRA na wateja wake wakuu Kama vile Tigo,Vodacom,Airtel na Halotel.Jioni ya leo nimepokea simu ya hovyo...
Bei ya kununua ving'amuzi imebaki ileile
Malipo ya mwezi yamebaki yaleyale.
Wananchi hawakulipwa Kama walivyodanganywa
Kodi ya serikali imeshuka.
Je, haya yalifanyika kwa lengo tu la kuwazuia...
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametaka kupewa taarifa za waajiri wote hasa sekta binafsi waliowafukuza wanawake kazi au kuwashusha vyeo kwa sababu wamepata...
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)kwa kushirikiana na hospital ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa(AICC) Arusha,wameanza kutoa huduma ya upimaji...
Ndugu wana Jf napenda kuwaasa juu ya swala la kupambana na kutokomeza swala ukatili wa kijinsia ikiwemo ukekektaji na ndoa za utotoni, kuwa ni jukumu la kila Mtanzania. Vitendo hivi hufanywa hasa...
Habari za jumapili bandugu ndugu.. Eheee salamu jambo la kheli.. Maisha sio Bongo movie.
Ukinishangaa nakushangaa kisha tuna shangaana ndio mwendo wa Time hii.. Time ya kuandika historia kwa...
Wanafunzi wa chuo cha maendeleo ya wananchi Msaginya kilichopo halmashauri ya Nsimbo wilaya Mpanda mkoa wa Katavi wanalazimika kulala katika bwalo la kulia chakula baada ya mabweni yao...
Hii ni kwa mujibu wa Farouk Karim wa ITV , bado haijafahamika hasa wahusika wa tukio hilo .
Taarifa zaidi zitawajia punde ...
=======
Watu wasiojulikana wamechoma moto gari la aliyewahi kuwa...
" Intelligent people are full of doubts while the Stupid ones are full of confidence "
Tafsiri
" Watu Werevu mara nyingi huwa na Mashaka juu ya mambo lakini ile Mipumbavu ( Mipopoma ) na Mijinga...
Hizi ni ndege zilizofanyiwa upgrade kutoka BOEING 787
Boeing 737 Max-8 imekuwa katika safari za kibiashara tangu mwaka 2017.
Mwezi October mwaka jana Lion Air Boeing 737 Max ilianguka muda...
Hii ni habari iliyowatahadharisha raia wa Marekani kutokapanda ndege za Ethiopia au kutopitia Bole International airport
Nimeisoma kwenye Embassy page ya USA,
Kwamba kwasababu ya maandamano...
CHINA na Tanzania zimezidi kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji baada ya makampuni 13 toka nchi hiyo ya Asia ya Mashariki kutembele Tanzania na kusema wanataka kuanzisha uwekezaji...
Yani bongo usipompost marehemu au kutopiga picha ukiwa msibani unaonekana huna uchungu kabisa na msiba
Vanesa Mdee alikuwa na show Rwanda ambayo alishaipromote mda mrefu sana ghafla katikati...
Kijana aliyejulikana kwa jina la Daniel Mtambala Gudugudu (30 mkazi wa Nyihogo Mjini Kahama ameuawa kwa kuchomwa na kisu kwenye mkono wa kushoto na Rashid Mustapha (48) mkazi wa Nyihogo wilaya ya...
Mh Rais mstaafu Mkapa,kwann uwa audhurii misiba ya watu maarufu Mfano kifo cha kanumba,ruge,mzee kingunge,na wengine wengi.
Ila imekuwa tofauti na mh kikwete
Sent using Jamii Forums mobile app