Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Msema kweli ni mpenzi wa Mungu! Kama kweli tuna nia njema na Taifa hili, Kama kweli tunataka kulitendea haki Taifa hili, Kama kweli sisi ni Wazalendo wa kweli, Kama tuna tanguliza Uzalendo wa...
1 Reactions
0 Replies
798 Views
Ndugu wana JF, naomba kuelekezwa zilipo ofisi za PSSSF, kwa wilaya ya Temeke, au kwa Mkoa wa DSM. Najua humu ndani kuna wanaozifaham zilipo na nitaelekezwa. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Ilikua mida ya saa moja usiku maeneo ya kituo cha mzani kihonda, trafik walikua na Harrier nyeupe namba inaanzia T ... CK, walimfuata dereva wa lori wakamuomba leseni akawapa wakamwambie ume...
6 Reactions
30 Replies
6K Views
Wananchi wa Kenya wenye asili ya Somalia leo asubuhi wamefunga mpaka kwa kuchoma Matairi na kuweka vizuizi katika barabara inayoingia Tanzania na Iinayoingia Kenya Baada ya Watu wasiojulikana...
4 Reactions
89 Replies
31K Views
DAKTARI Barry Marshall ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Nobel aliyoipata kutokana na kugundua chanzo cha vidonda vya tumbo kwa kufanya majaribio katika mwili wake. Wataalamu wengi wa Afya miaka...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu hizi karanga mbichi sio rafiki kwa wale walio na tabia au tatizo la kufika mapema kileleni hasa kwa wanaume. Karanga mbichi zinasaidia kuongeza hisia zinazomfanya mtu kuwa active sana na...
5 Reactions
42 Replies
19K Views
Salamu, Nawapongeza walioomba mvua juzi wakiongozwa na Mufti Mkuu. Leo tunaona inanyesha. Siku zijazo aiombee nchi yaliyobaki kama kushinda AFCON Kuimarika kwa shilingi Demokrasia pana zaidi Na...
16 Reactions
148 Replies
15K Views
DAR ES SALAAM: IDADI ya watu wanaotumia vipodozi hapa nchini na hasa wanawake ni kubwa na tahadhari imekuwa ikitolewa uchwao kwamba, baadhi vina madhara. Sikio la kufa halisikii dawa! Meza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara imemhukumu, Choral Samson (28) mkazi wa Burunga kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mama yake mzazi Rhobi Nyang’ombe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bila Magufuli kuajiriwa sidhani Kama na yeye angefika sehemu nzuri na nyota yake kuonekana mpaka Sasa na kufanikiwa kufanya mambo makubwa Kama raisi.. Nashauri serikali izingatie hili kwani vijana...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Ninajiuliza sana sipati jibu. Inakuwaje usafirishaji wa dawa za kulevya aina ya Mirungi unafanyika mchana kweupe pasipo polisi kuchukua hatua? Crime buster wa mkoa no RCO na amezungukwa ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Unajua matatizo ya Tanzania yanasababishwa na waTanzania sisi wenyewe. Leo nimesoma alichosema Board Chairman, Ndugu Ali Mufuruki kwamba Tanzania haina mtu wa kuweza kuwa CEO wa Vodacom. Unajua...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
NAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye gharama kubwa zaidi kuishi, na ipi ina gharama ndogo zaidi. Wataalamu wamefanya utafiti...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari! Tuache masihara wakuu Tanzania watu wengi wanaishi maisha ya miaka mingi iliyopita, balance diet hawaijui na hawaipati, ukienda ndanindani huko unaweza kumwamkia mtu uliyemzidi umri...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wapendwa mu wazima Hivi karibuni kuna wimbi la watu ambao wana undugu sana na malaika limeibuka. Wao kucha kutwa ni kuwasimanga wanawake waliozaa bila kuolewa (singo mazas) na kuwaona hawastahili...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Kabla ya kuaga dunia 14 October 1999, mwalimu J.K. Nyerere aliusia yafuatayo: "Najua Nitakufa, Sitapona Ugonjwa Huu...Nawaacha Watanzania Wangu, Najua Watalia Sana Nami Nitawaombea Kwa Mungu...
7 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika mihangaiko yangu katika nchi mbalimbali na hapa nchini, nimeona kwa wenzetu walioendelea magari barabarani yanaongozwa na taa (traffic lights, robots) na hawana roundabout nyingi ila wana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchi Tanzania Mhe. Mussa Farhang akiongea katika Semina ya kuelekea Maadjimisho ya Miaka 40 ya Serikali ya Mapinduzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari wakuu !! Naomba kujuzwa kwa yeyote anayejua masharti gani ambayo Azam Tv wamepewa na mamlaka za kiserikali ili kuonesha local channels kama ITV,Channel 10,clouds Tv nk !! Ingawa lengo la...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imerejesha zaidi ya Sh14.9 bilioni, kutaifisha nyumba saba na magari manne kutoka kwa mafisadi. Akizungumza na waandishi wa...
6 Reactions
56 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…