Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado...
Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,
Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.
Sijajua...
Ndugu zangu mliopo Pwani naamini mpo salama.
Chukueni tahadhari na Mungu awalinde
Hapo ulipo mvua ipo kias gani?
Hapa nilipo inanyesha sana na radi kali mpaka usingizi umekata
Nimekuwa nikiwaza na kuwazua sana kwa muda mrefu.
Mungu ametujalia akiba kubwa ya gesi Songosongo na MnaziBay.Naelewa kila kitu huanza taratibu,lakini kwa unafuu wa bei ninaoushuhudia kwenye bei...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Muliro Jumanne Muliro, amekutana na baadhi ya viongozi na wanajamii wa Kimasai wanaoishi jijini Dar es Salaam, ambapo amesisitiza kuwa Mhalifu...
Hizi ni ngozi za ng'ombe, na ngozi mara nyingi ndizo zinazotunza uchafu.
Cha ajabu unakuta mtu na akili zake timamu anakula madude haya na hapo anatarajia magonjwa ya ajabu ajabu yasimnyemelee ...
Mtaani tayari kumeshachangamka. Kwetu sie tunaokaa uswahilini, wimbi la watoto limetaraadadi, ni mwendo wa vumbi madirishani jumlisha na kelele za ule wimbo wa kifaransa wa "Cheche Kule", ni...
Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku...
Ila Babalevo leo kaamua kunyesha upande wake wa pili. Ila bunge la sasa linamambo ya hovyo mengi sanaa
=================
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) ameibua...
JPM aliwahi kusema mtanikumbuka haya yanayotokea nchi sio mazuri hata kidogo matumizi mabaya ya fedha za umma kwenda urusi kununua PHD za mchongomchongo ambazo haziinufaishi nchi kwa namana moja...
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa...
Habari ndugu wanajamii
Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu...
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI?
Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
UTANGULIZI
Kila mwanadamu ana masimulizi ya matukio kadhaa katika safari yake ya maisha, matukio hayo yanaweza kuwa ni mkusanyiko wa harakati za kiuchumi, kisiasa ama kijamii alizopitia...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, akizungumza katika Mkutano wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara/Vitengo vya Utawala na...
Part 2 baada ya kupigwa lock ( nyie wanaume wa miaka 29 mnaoishi kama kuku) [emoji41]
Naingia kavukavu bila mafuta Lazima uelewe, Mwanaume huna hela wewe ni mshenzi tu na mchawi unayetafutwa...
Dr.Zack.
June 2,2026.06:54AM.
Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana.
Hii inaweza...