Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa sababu bila kuumiza kichwa zaidi naanza mfano kwenye issue ya elimu ni Tanzania moja ni serikali moja tuna mifumo ya elimu ya aina mbili mtoto wa waziri wa mbunge amesoma English medium mfumo...
1 Reactions
2 Replies
180 Views
Kwahiyo mkuu wa Wilaya hiyo miti inafaida gani hasa huku mjini palipojaa manyumba na maduka kila mahali? Hiyo miti mitano nitaipanda wapi? Acha zako bhana fanya mambo mengine ya msingi...
1 Reactions
5 Replies
148 Views
Wazima Naichukia sana siasa lakini naifatilia tu kupata updates za dunia, coz ndio ina running Dunia Siasa, udini, ukabila ni vitu vibaya sana tukiviendekeza 1. Rwanda - 1994 Mauaji ya Kimbari...
7 Reactions
18 Replies
215 Views
Asalam aleykumu wananzengo....!! bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada Nimekuwa nikifuatilia mtanange unaoendelea through social media. kati ya wasukuma wawili machachar kuhusu...
1 Reactions
5 Replies
182 Views
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, kama mzazi! Iko hivi! Nina mtoto, alimaliza kidato cha NNE mwaka 2024, alifaulu kwa kupata daraja la kwanza,(division one). Katika kushauriana,tukiamua...
5 Reactions
21 Replies
499 Views
Wakuu, Sikatazi watu kupiga mafataki lakini si watu wapige mchana. Hivi kweli mnapiga mafataki saa 4 na saa 5 usiku watu wamempuzika na familia zao Watu wanaoishi hapa karibu na Mlimani City...
3 Reactions
11 Replies
224 Views
“Gonjwa lingine la Mlipuko litakalofuata nadhani litakuwa hatari zaidi kuliko Corona ambayo imeuwa Watu ila lijalo litauwa zaidi, tumshukuru Rais Trump na Serikali yake kwa kutengeneza chanjo...
8 Reactions
65 Replies
1K Views
Kuna mgogoro mkubwa unaendelea katika eneo linalodaiwa kuwa la EPZA huko Tanga. Tatizo linatokana na wamiliki wa zamani baada ya kulipwa fidia kuwauziawageni wasiojua kuwa eneo hilo ni la EPZA ...
2 Reactions
2 Replies
111 Views
Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
5 Reactions
15 Replies
216 Views
Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano walijichanga na kutaka kutoa zawadi kwa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama. Nyama hiyo iliingizwa...
4 Reactions
21 Replies
557 Views
Je umepoteza tsh ngapi kimya kimya? Share hii na Rafiki zako!
5 Reactions
8 Replies
241 Views
Kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya Radio one ya saa mbili usiku wa leo Kenya imeajiri waalimu laki moja ndani ya miaka mitatu na inatarajia kuajiri wengine 20,000 kabla ya mwisho wa mwaka huu...
3 Reactions
4 Replies
134 Views
Wananchi wa kaya 67 katika kitongoji cha Bago, Kata ya Kigombe, Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga, wamelazimika kulala nje baada ya nyumba zao kubomolewa na Kampuni ya Amboni Plantation katika...
1 Reactions
4 Replies
167 Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amewasili leo Juni Mosi, 2026 nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi ya kushiriki na kuongoza vikao vya Bodi ya Global...
3 Reactions
4 Replies
166 Views
Mk 6:24 SUV [24] Basi akatoka, akamwuliza mamaye, Niombe nini? Naye akasema, Kichwa cha Yohana Mbatizaji. Huyu binti alishindwa kuomba kitu cha maana akaishia kuomba kichwa cha mtumishi wa Mungu...
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili. Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout out🗣🗣makunyazi...
8 Reactions
7 Replies
139 Views
Hizi ni sehemu wengi wanapoteza muda na pesa wakidhani ni fursa.... lakini ukweli wake huu hapa: 1. Forex Watu wanaona screenshots za profit na motivation, wanaingia kwa pupa. Kwa Tanzania...
25 Reactions
103 Replies
2K Views
Nipo kijijini napita pita mtandaoni, naona picha za wakuu wakiwa kanisani kwa Mwamposa. Picha moja wapo iliyonishtua ni jamaa flani ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 alikuwa kwenye...
15 Reactions
122 Replies
8K Views
Halafu lingine Wanaume tujitahidi sana Wanawake ambao tulianza nao Maisha tulipokuwa tukijitafuta na Kufanikiwa kamwe tusije kuwaacha tena kwa Dharau na Nyodo. Nimemaliza.
2 Reactions
1 Replies
75 Views
Anonymous
Tunapenda kufichua kero kubwa inayowakabili wananchi wa maeneo ya Unyinga, Mamise na Unyakumi na maeneo mengine mjini Singida kutokana na ukosefu wa huduma ya maji takribani wiki tatu sasa Kwa...
0 Reactions
3 Replies
151 Views
Back
Top Bottom