Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

JESHI la Polisi mkoani Kigoma limewauwa watu watatu wanaosadikika kuwa ni majambazi na kukamata risasi 42. Inaelezwa majambazi hao walikuwa wamejipanga kufanya uporaji katika baadhi ya nyumba za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ombi tu kubwa ni kwamba tubadilike sasa badala ya kutumia muda wetu mwingi katika kutafuta ' Misifa ' hasa kwa waliotuamini au kwa Wakazi wako ili tu Jina lako liwe kubwa na ukubalike basi...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Kituo Cha Clouds TV Leo Kimeshindwa Kurusha Mubashara Mahojiano Na Mwanachama Mpya Wa ACT Wazalendo, Seif Sharif Hamad Kwa Walichodai Ni Sababu Zilizo Nje Ya Uwezo Wao. Mdau Wa JF Unafikiri...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Walevi (wanywaji) wanajuana sana. Wanywaji wana connection na mshikamano wa hali ya juu sana. Mjini Kati wanajuana huyu anapenda hiki na anapenda sehemu fukan. Wakikaa mahali utaona wanaitana...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wadau. Pamoja na changamoto nyingi za foleni tunazokutana nazo (especially kwa wakazi wa Dsm) ambazo kwa namna moja au nyingine zinachangia kukwamisha au kupunguza ufanisi wa kazi zetu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwamba ukimjali msichana wa kazi atawajali watoto wako Pia ni vema kujua historia yake Mwelimishe majukumu yake Mpe huduma anazo stahili Usimtenge mfanye awe sehemu ya familia
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu!! kumekuwepo na ripoti nyingi za kutenganisha viungo/operesheni ya viungo vya watoto wanaoonekana kuzaliwa na jinsia mbili kwa kuondoa au kubakiza moja yenye nguvu! Kwanini...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwaka 2010 kupitia BBC kuna mkenya aliulizwa kuhusu siasa za TZ na Amani yetu tukufu. Alijibu kuwa waTZ ni either wajinga au hawajui haki zao kabisa. Ilipita miaka mingi sikuwahi kuelewa hili jibu...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za weekend wanaJF wote. Mnaweza kushangazwa na mada yangu hapo juu, lakini mnivumilie kwani ni mtazamo tu nilionao. Kutokana na purukushani za siasa za nchi yetu, nafuatilia kwa kiasi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mikoa mingine ukinunua karedio kako ka mkulima, ukiwa unalima zako unaweka tu juu ya mti unaendelea kula magoma moto. Rombo ukiwasha tu Radio utasikia Milele Fm ya Kenyaa. Sehemu chache sana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilisema, ninasema na nitasema daima kuwa panya anatuzidi akili kwenye chakula. Anajua na kuheshimu sana virutubisho kuliko harufu au nakshi ya chakula hicho. Mfano hai utauona kwenye ghala la...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Habari zenu wakuu Nauliza hv serikalini kama watu mpo kwenye nafasi zinazofana lakini mnatofautiana elimu mnalipwa mshahara sawa? Mf.Prof ndalichako VS J.Mhagama wote mawaziri Dk Possy VS Mangu...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Wanajamvi.... Natumai akili zenu zitakua zimetulia kwenye asubuhi hii murua kabisa yenye hali ya hewa mwanana... Wiki hii tulibahatika kuona ama kusikiliza shughuli ya kuapishwa kwa balozi wetu...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu samahani naomba kuuliza upatikanaji wa pasi za dharura ukoje,ni vigezo vipi vinahitajika ili niweze kuipata,gharama ,na inachukua mda gani kuiprocess Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya kilimo ameiagiza serikali kuhakikisha inawalipa wakulima wa korosho madai yao yote ifikapo 31/03/2019 bila visingizio. Mama Ishengoma amesema hayo wakati kamati...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema kuwa hafahamu kama Balozi wa Zambia kama ameshaondoka kwasababu wamekuwa wanaaga aga mwisho wa siku wakimaliza kuaga watajikuta...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu naomba kuuliza tu kuwa suala la Rais kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za wafanyakazi ni la lazima? Waziri anayedeal na Utumishi wa umma mimi naona anatosha na si kumsumbua Rais, mnajua Rais...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za mda huu waungwana... Poleni na michakato ya maisha Niende kwenye mada Juzi mother alinipigia simu kuwa kuna barua kapata kutoka shule kuwa dogo kuna msala kafanya sasa wazazi inabidi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mvua za masika maeneo mengi hakuna hadi sasa. Mazao yanakauka mashambani. Sina kumbukumbu ya kusikia mamlaka ya hali ya hewa wakilisemea hili na kushauri chochote hivi karibuni. Wakulima wameanza...
20 Reactions
94 Replies
11K Views
Nimejiuliza nikaona niwashirikishe na nyie. Hivi huwa na faida zipi mtu huzipata kupitia picha zake yeye mwenyewe au za familia yake (baba, mama, dada, kaka, mtoto) Baada ya kuzipost kwenye...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…