Faida za Utalii kwa nchi zenye vivutio zinafahamika sana na hata ukimuuliza mtoto wa shule anaweza kukupa majibu kama kuingiza fedha za kigeni na mengineyo mengi.
Lakini nataka kufahamu faida...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limemkamata mtu mmoja anayedaiwa kuwa askari feki wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Mtu huyo aliyefahamika kwa jina la Fadhil Yahaya (29) alikutwa na sare...
Hatimaye watanzania tunaweza kuingia katika vitabu vya historia kama wanafalsafa, wanasayansi n.k maarufu baada ya kuvumbua " dawa ya kuambiwa ukweli ni kususa" ingawaje inaonekana bado tunayo...
Dunia imebadilika, Dunia inaenda kasi sana.
Lakini naona kuna mpango wa kurudishana miaka hamsini nyuma kabla ya uhuru.
Watanzania walipe kodi na hao hao wapate usumbufu wa kila aina wakati wa...
Kama kichwa kinavyojieleza, kwa mujibu wa CAG, neno udhaifu ni lugha ya kihasibu, je bunge lilifanya uchunguzi kubaini kwamba ni kweli hilo neno linatumika ipasavyo?
Ukweli upo wazi kwamba kila...
Wadau... Mambo ni mengi sana... Tatizo ni muda tu hautoshi. Kuna suala la CAG Washkaj wanataka tujadili, but wakati tunajadili likaletwa suala la liquid piere tukatoka kwa CAG....leo tena...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida fisi amevamia nyumbani kwa Diwani wa kata ya Lagana ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga,Boniface Butondo kisha kuua mbuzi na...
Amani iwe nanyi... jmn naomba kuuliza ni kitambo kidogo sijasafir kwenda Arusha. kwa wenye kutumia usafir wa mabasi ni magar gani mazur kuelekea huko kwa sasa?
kutoka Dar es salam
Sent using Jamii...
(Tusameheane kwa post za mfululizo)
Nimekutana na mabango makubwa ya kampuni ya matangazo ikiwa na mapicha makubwa kubwa ya viongozi wa kisiasa wakipanda miti na nyingine ya barabara iliyojaa...
RC HAPI NA NDOTO KUBWA YA MAGEUZI YA KIMAENDELEO IRINGA
(Afanya uzinduzi mkubwa uwanja wa Nduli, Apambana kuishusha Bombardier Iringa)
Wakati Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi mashuhuri...
Mkutano wa ndani ACT wazalendo umevamiwa na jeshi la polisi mkoani tanga bila sababu maalum ,uongozi ukiongozwa na zitto umeomba kukutana na RPC
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza tu endapo kama mbunge Lema atailalamikia benki yake kwa kitendo cha deni lake kuwekwa hadharani labda KUB anaweza kupata msukosuko.
Deni ni SIRI kati ya Benki na mteja so hata kama KUB...
Kila mara nimekuwa nikisikia kwenye hotuba za kiongozi kuwa watu wazuri wanapigwa vita.
nimekuwa nikiutafakari sana msemo huu na yawezekana wakati mwingine watu hawa wazuri wanapigwa vita na watu...
KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu, Mkonge Ally, amegoma kuzindua mradi wa kwanza wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Igunda kutokana na mgongano wa taarifa.
Katika hatua nyingine...
Hoteli maarufu za kitalii mkoani Arusha, Impalla na Ngurdoto Mountain Lodge zimetangazwa kuuzwa na Benki ya Exim (T) Limited.
Hoteli hizo ambazo zinamilikiwa na wafanyabiashara kadhaa nchini...
Leo nimesoma makala kwenye gazeti nakushangazwa kuona kwamba Mayor wa Dodoma ni Profesa. Hiki cheo nafahamu anaweza kukaa hata mtu wa standard seven.
Huyu profesa unaweza kuta yupo kwenye Board...
Nina rafiki yangu nimemkaribisha nyumbani kwetu tunaishi mimi na yeye tu hatujaoa nilikuwa naishi peke yangu alikuwa anaishi kwa mjomba wake nyumba ikapangishwa.
Nikaona ni vyema aje niishi nae...
Haya mabasi ya mwendo kasi yaliingizwa nchini-DAR ili kupinguza msongamano wa abiria kwenye vituo, na kuleta ufanisi kwa watu kuwahi sehemu zao za kujipatia mahitaji yao ya kiola siku hasa...
Rais John Magufuli ametoa maagizo kwa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kutotoa kandarasi nyingine kwa kampuni inayotekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Mtwara-Mvinata hadi...
Watoto wapatao 164 wenye mahitaji maalumu wameibuliwa wilayani Siha mkoani Kilimanjaro toka Februar na march mwaka huu wakiwa wamefichwa ndani bila kupelekwa shule
Haya yamebainika katika...